Nimekusoma kwa makini na heshima kubwa.Mkuu Kalamu uwezo wako wa kiuchambuzi ni mkubwa zaidi ya ulichokiandika hapa......
Mh.Rais SSH kwao ni Kizimkazi....amepita katika machujio ya kizalendo kufikia hapo alipo.....wamakunduchi ni wahadimu Kutoka huku bara... wamakunduchi wanajulikana kwa umakini wao na kuupenda uafrika.....wamakunduchi wanajulikana kwa UKOMREDI wao juu ya CCM......
Mh.Rais SSH ameshawahi kuwa mkurugenzi wa NGO's Zanzibar.....ameshawahi kuwa waziri wa utalii.....ameshawahi kuwa waziri wa muungano wa JMT......unadhani ni kwa bahati mbaya?!!!
Huyu mama yetu ni zaidi ya umuonavyo na umjuavyo....ni komredi haswa....kwake Tanzania kwanza kabla ya nafsi yake......
Wanaomjua watakuwa wanaisoma comment hii kwa furaha kubwa.....
#Aishi Milele Chifu Hangaya amen[emoji120]
Haya, nenda kachimbue.Atachimbua kuhakiki DNA kama zinakubaliana.
Siyo mimi, nilijazia tu kinachowezekana kufanywa kwa uelewa nilionao juu ya hayo mliyojibishana wenyewe.Haya, nenda kachimbue.
Hakuna mtu anayeweza kwenda kuchimbua hilo kaburi kwa sababu hiyo, labda tuongee kwa kufurahisha baraza kidhahania tu hapa.Siyo mimi, nilijazia tu kinachowezekana kufanywa kwa uelewa nilionao juu ya hayo mliyojibishana wenyewe.
Huyo ndo Mzee Hafidh Ameir, au?
Kwanini mkuu?Hivi ujinga utakutoka lini ndugu misasa?
No comment sababu sijui kama kweli ni "me" au "ke".Ukiachana na hilo inasemwkana ni dume. Hilo unalichukukia je?
[emoji120]Nimekusoma kwa makini na heshima kubwa.
Ngoja niishie hapo kwa sasa.
Niseme tu kwamba hizo sifa ulizoweka hapo zinajadilika, na siyo kigezo tosha cha kuwa hapo alipo sasa.
Binafsi hayo siyajui mkuu 'Kiranga', mchango wangu uliishia kwenye hiyo DNA kama wenyewe wakitaka kufanya hivyo.Hakuna mtu anayeweza kwenda kuchimbua hilo kaburi kwa sababu hiyo, labda tuongee kwa kufurahisha baraza kidhahania tu hapa.
BBC ndiyo watupe uasili wa Rais wetu wa Tanzania aibu hizi.Baba yake ni marehemu Mzee Suluhu Hassan.
Kaka yake ni Rashid Suluhu Hassan.
Dada yake ni Mgeni Suluhu Hassan.
Kwa mujibu wa makala hii ya BBC.
'Rais Samia alipenda kusoma, baba yetu alimhimiza afaulu’. Familia yake yaeleza
20 Aprili 2021
- Halima Nyanza
- BBC Swahili
---
Akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Watanzania wamekuwa na hisia na mitazamo mbalimbali juu yake.
Lakini familia yake na watu wake wa karibu wanamfahamu vizuri kuliko ilivyo kwa watu wengine .
Rashid Suluhu Hassan ni kaka wa Rais Samia anasema jitihada anazozionesha hii leo , alianza tangu akiwa mdogo.
''Alikuwa mtu ambaye ana ari ya kusoma, bidii ya kusoma, alikuwa anapenda kuambiwa soma uwe kama mtu fulani, unamuona kaka yako hapa kwasababu Baba yetu alikuwa mwalimu, hivyo openness alikuwa nayo tangu zamani sana kwa hiyo watoto wake alikuwa akiwaachia nafasi''. Alisema Bw. Rashid.
Kaka yake anasema hakuna yeyote kwenye familia aliyewahi kuwa na ndoto kuwa siku moja atakuwa kiongozi...
''Hakuna mtu alijua.. kama ingewezekana kumfufua marehemu Mzee Suluhu sasa hivi akaamka ukamwambia leo Samia ni rais atakushangaa sana''. Alisema Bw. Rashid
Mgeni Suluhu Hassan ni dada wa Rais Samia anasema hakutarajia mdogo wake kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi nchini Tanzania.
Lakini pia hakushangazwa pia kutokana na rekodi yake ya kushika nafasi mbalimbali akipanda hatua kwa hatua.
''Kapita kwenye nyanja nyingi akianza tangu chini kabisa, mpaka akawa mbunge, kaliongoza bunge la katiba pia, anaweza na anajitahidi kuweza na ataweza''.
Tumsaidie na kumshauri vizuri.'' alisema Bi.Mgeni
Chanzo cha picha, Ikulu Tanzania
Chanzo: BBC
'Rais Samia alipenda kusoma, baba yetu alimhimiza afaulu’. Familia yake yaeleza - BBC News Swahili
Akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Watanzania wamekuwa na hisia na mitazamo mbalimbali juu yake. Lakini familia yake na watu wake wa karibu wanamfahamu vizuriwww.bbc.com
Mkuu,BBC ndiyo watupe uasili wa Rais wetu wa Tanzania aibu hizi.
Niko bize na matayarisho ya fainali ili kuhakikisha kuwa Tanzania siyo "kichwa cha mwendawazimu tena", nitarudi baada ya fainali.Nimekusoma kwa makini na heshima kubwa.
Ngoja niishie hapo kwa sasa.
Niseme tu kwamba hizo sifa ulizoweka hapo zinajadilika, na siyo kigezo tosha cha kuwa hapo alipo sasa.
Mbona utakuwa umechelewa mkuu! AU nimesoma visivyo? Mtayarishaji ni lazima uwepo wakati wa "fainali" kuhakikisha kila kilichotayarishwa kinakwenda kama kilivyokusudiwa.Niko bize na matayarisho ya fainali ili kuhakikisha kuwa Tanzania siyo "kichwa cha mwendawazimu tena", nitarudi baada ya fainali.
hatuwezi kufukua makaburi, yeye mwenyewe asimame ahesabiwe, unless ukweli hata yeye haujui.......unataka tukawafukue makaburini muwahoji?!!!
Problem ya Tanzania iko kwenye katiba hasa huko CCM kuhusu utaratibu wa kumpata mgombea mwenza ambaye hupangwa na kamati ya CCM baada mgombe a kufuzu. Mgombea Mweza hupat free ride bila kuchujwa na wananchi. Kwa mfano ukiwa na Mgombea ambey ni 80% halafu akapatikana mgombea mwenza ambaye ni 15% basi tiketi hiyo itapita, sasa tatizo ni pale yule 80% mgombea akifariki basi huyu 15% ndiye anshika madarak. Very tricky!Mbona utakuwa umechelewa mkuu! AU nimesoma visivyo? Mtayarishaji ni lazima uwepo wakati wa "fainali" kuhakikisha kila kilichotayarishwa kinakwenda kama kilivyokusudiwa.
Nchi hii tumewahi kuwa na mipango mizuri sana, lakini tumekuwa mafundi wa kupindisha, ndiyo maana tunakwenda zigzag namna hii kwa sasa.
Kwani wapi uliona siri ya serikali ikahojiwa kwa nini imekuwa siri na ndo waliomficha babu yetu mzazi wa namba moja wetu nao hawataki tuwahoji ...,..mpaka Leo hii hakuna sehemu wameandikwa wala kuonyeshwa Baba wala Baba wadogo wala akina Baba wakubwa wa namba moja wetu,yaani ni km vile kizazi choote cha babu yetu kilikumbwa na gharika au kuzama majini na kufutika chooteSiri gani na wazee wako makaburini?!!! Wakafukuliwe wahojiwe?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana vyeti fake wanatamba sahivi???Halafu bimkubwa form4 alikula za uso huyu. Kaungaunga sana mavyeti.