misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,046
- 13,176
Tangu atoke marehemu Bob Makani zaidi ya miaka 20 yupo tu madarakani anapiga posho na ruzuku dj zero.Tangu uhuru, CCM ipo madarakani na kuwafanya wananchi kuwa masikini
Tangu atoke marehemu Bob Makani zaidi ya miaka 20 yupo tu madarakani anapiga posho na ruzuku dj zero.Tangu uhuru, CCM ipo madarakani na kuwafanya wananchi kuwa masikini
Tangu 1961 CCM imeendelea kuwanyonya raia wake wasiokuwa na hatia ukiwemo wewe mtetea wezi hapa jukwaaniTangu atoke marehemu Bob Makani zaidi ya miaka 20 yupo tu madarakani anapiga posho na ruzuku dj zero.
Education Background
Year Level School Awards 1994 - 2000 Primary School Kurasini Primary School CPEE 2001 - 2005 Secondary School Airwing Secondary School CSEE 2006 - 2008 Secondary School Tegeta High School ACSEE 2008 - 2011 Bachelor Degree Tumaini University Degree
Aende akawe librarian wa kata huko kata ya kamsanjini Kilosa
Unajua kwanza ccm ilizaliwa lini? Au dj zero ndio amekuambia imezaliwa 1961?Tangu 1961 CCM imeendelea kuwanyonya raia wake wasiokuwa na hatia ukiwemo wewe mtetea wezi hapa jukwaani
IndeedMwambieni MBOWE ajitafakari vinginevyo atabaki yeye na j.mukya na chadema
Sent from jamii forums
CCM na wewe mtetea wezi mumewadhulumu sana raia haki zao tangu nchi inapata uhuru, Mungu atawapawa adhabu mnayostahiliUnajua kwanza ccm ilizaliwa lini? Au dj zero ndio amekuambia imezaliwa 1961?
Shule zote alizosoma na chuo ni majanga. Nadhani shule yake inaakisi weledi wakeKwa taarifa yako dogo ana elimu kubwa kuzidi ya mwenyekiti wa Chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mark Zuckerberg na bill gate hawana degree lakin angalia legacy waliyoiachaHiyo ni argument ya kishamba na kitoto. Thomas Sankara hakuwa na degree lakini allifanyia makubwa nchi yake kuliko Mugabe aliyekua na degree tano alivyoifanyia Zimbabwe. Closer home. Karume hakuwa na degree lakini aliifanyia Zanzibar mengi kuliko marais wote waliomfuata. Niendelee bi mkubwa?
Hata mkuu wa mkoa naye si hana degree au?? 😎Mark Zuckerberg na bill gate hawana degree lakin angalia legacy waliyoiacha
He has been a strong servant... Kilombero sio nyepesiMwenye CV ya Lijualikali naomba aiweke hapa. Nahitaji kumjua huyu kijana. Vijana wengi wanakosa fadhira. Sielewi shida ni nini? Elimu au?