Wasifu wa Peter Lijualikali

Wasifu wa Peter Lijualikali

Teuzi ziko jirani kamfurahisha jiwe
 

Attachments

  • KILOMBELO.jpg
    KILOMBELO.jpg
    30.5 KB · Views: 4
  • Kikaoni.jpg
    Kikaoni.jpg
    36 KB · Views: 5
  • 1.jpg
    1.jpg
    28.8 KB · Views: 5
  • 1473007_FB_IMG_1484135294337.jpeg
    1473007_FB_IMG_1484135294337.jpeg
    19.1 KB · Views: 6
kwa nini baadhi ya watu wanamuita dogo? Umri umesogea ana miaka 34.
 
Hakuna cha kulia huyu akasoma Alama za Nyakati dalili ya Mvua Mawingu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila wanaume tuongee kidogo. Kulia mbele za watu zaidi ya 20milioni (kwenye kideo) ni aibu sana hasa kwa ishu kama hiyo ya lijualikali. Yani unalia kisa unasimangwa, mwanaume gani sasa.
 
Kwa taarifa yako dogo ana elimu kubwa kuzidi ya mwenyekiti wa Chadomo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni argument ya kishamba na kitoto. Thomas Sankara hakuwa na degree lakini allifanyia makubwa nchi yake kuliko Mugabe aliyekua na degree tano alivyoifanyia Zimbabwe. Closer home. Karume hakuwa na degree lakini aliifanyia Zanzibar mengi kuliko marais wote waliomfuata. Niendelee bi mkubwa?
 
Wiki hii mbaya sana kwa chama chetu Chadema tunatolewa knockout kila sehemu.
 
Back
Top Bottom