Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Mwenye CV ya Lijualikali naomba aiweke hapa. Nahitaji kumjua huyu kijana. Vijana wengi wanakosa fadhila. Sielewi shida ni nini? Elimu au?
| Year | Level | School | Awards |
|---|---|---|---|
| 1994 - 2000 | Primary School | Kurasini Primary School | CPEE |
| 2001 - 2005 | Secondary School | Airwing Secondary School | CSEE |
| 2006 - 2008 | Secondary School | Tegeta High School | ACSEE |
| 2008 - 2011 | Bachelor Degree | Tumaini University | Degree |
Asante mkuu.Education Background
Year Level School Awards 1994 - 2000 Primary School Kurasini Primary School CPEE 2001 - 2005 Secondary School Airwing Secondary School CSEE 2006 - 2008 Secondary School Tegeta High School ACSEE 2008 - 2011 Bachelor Degree Tumaini University Degree
Mwambieni MBOWE ajitafakari vinginevyo atabaki yeye na j.mukya na chademaMwenye CV ya Lijuakali naomba aiweke hapa. Nahitaji kumjua huyu kijana. Vijana wengi wanakosa fadhila. Sielewi shida ni nini? Elimu au?
Shukrani mkuu.Itakusaidia niniView attachment 1453679
Librarian....unakumbuka wakati wa ufunguzi wa daraja la Kilombero jiwe alimuumbua? Dogo ameenda kujiuza kwa jiwe!Amesomea degree ya nn ?
Lissu na chama walipambana sana leo kala ya mbuzi kaota mapembeMwenye CV ya Lijuakali naomba aiweke hapa. Nahitaji kumjua huyu kijana. Vijana wengi wanakosa fadhila. Sielewi shida ni nini? Elimu au?
Huenda hujui kuwa hata Wabunge wa Ccm hukatwa Mishahara yao,na hapaswi kuuliza popote hata wakifukwazwa chamaniKumbe katiba ya chadema inaruhusu kuwaambia wabunge changeni hela tukaweke kwenye fixed akaunti alafu baada ya miaka 5 wakiuliza hela za kwenye fixed akaunti ziko wapi, unawajibu hakuna pesa yoyote na mambo yanaishia hapo?
Kweli hiki chama ni bora kabisa duniani na wanachama wake wana akili nyingi za kuchanganua mambo kuliko bindamu yoyote kwenye solar system.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumziwa Yule anaeshindwa kutunga sentensi ya kiingereza na amejificha chato?Kwa taarifa yako dogo ana elimu kubwa kuzidi ya mwenyekiti wa Chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko beachMwambieni MBOWE ajitafakari vinginevyo atabaki yeye na j.mukya na chadema
Sent from jamii forums
Na Busara ameisomea wapi?Kwa taarifa yako dogo ana elimu kubwa kuzidi ya mwenyekiti wa Chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajiuza bureLibrarian....unakumbuka wakati wa ufunguzi wa daraja la Kilombero jiwe alimuumbua? Dogo ameenda kujiuza kwa jiwe!
Sent using Jamii Forums mobile app