...Kuna wanaJF wanatoka jasho sana kumtetea huyu bidada wa Bunge. Tumalize Ubishi. Tunawaomba hawa watetezi watupe basi CV yake maana ile ya bungeni faili lake lipo TUPU! ...Hilo tu.
Dah!Ni balaa nimemuona leo wakati anachangia kwenye bajeti ya wizara ya katiba na sheria alikuwa anajiumauma tu mara asahau anachoongea mpaka asome!
mwaka 2005 hadi 2006 Catherine alisoma certificate chuo cha CBE kampasi ya Dar.
kuanzia 2006 alikuwa anasoma diploma ila sifahamu kama alihitimu.
pia kuna kipindi alifanya kazi Diamond Trust Bank.
Jamani mwogopen mungu mbona mmemvaa sana binti wa watu? Na leo kachangia vizur sana mi nimemwona via tbc. Na ni wivu tu unawasumbua kwasababu bibie mrembo haswa