Nyasiokatavi Member Joined Oct 20, 2019 Posts 31 Reaction score 31 Jun 29, 2020 #81 Enzi za mzee wa privatization alikuwa ni Frontline kitengo.. product ya Mpanda kwa mizengo hii.
R Raja Casablanca JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 706 Reaction score 368 Jul 21, 2020 #82 GeoMex said: Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku Felix Kijiko aka Ntibenda Fabian Daqaro Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja Click to expand... Aaaah . . kumbe, i believe spin doctors wa siasa za Tanzania wameshajua tatizo ni nini
GeoMex said: Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku Felix Kijiko aka Ntibenda Fabian Daqaro Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja Click to expand... Aaaah . . kumbe, i believe spin doctors wa siasa za Tanzania wameshajua tatizo ni nini