Kweli ni Mbembe, lakini anatokea Katavi. Ni mtu wa katibu sana na Mizengo Pinda. Amewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Nkasi kwenye utawala wa Jk kabla ya kuhamishiwa Monduli Magu alipoingia madarakani. Ana kiwango Fulani cha busara ila ni mwoga kufikia maamuzi. Ni msikilizaji mzuri na labda Arusha itatulia maana si mtu wa maonesho.Mbende kutoka Rukwa
DAQARO NI MTU WA KITENGO PIA
Huhitaji kuwa na Saikolojia Kubwa mno kama ya Wabobezi kuweza kujua Mhusika ni Mtu Maalum na amewekwa hapo kwa Kazi hiyo Maalum pia.
Sio mbembe ni Mbende mkuuKweli ni Mbembe, lakini anatokea Katavi. Ni mtu wa katibu sana na Mizengo Pinda. Amewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Nkasi kwenye utawala wa Jk kabla ya kuhamishiwa Monduli Magu alipoingia madarakani. Ana kiwango Fulani cha busara ila ni mwoga kufikia maamuzi. Ni msikilizaji mzuri na labda Arusha itatulia maana si mtu wa maonesho.
Unafiki gani tena kiongoziAcha Unafiki tafadhali.
Endelea kulisikia tuHilo kabila ndio nalisikia leo.
Huyu jamaa ni Mzee wa pale Makumbusho kama alivyo DaqaroAnaonesha kuwa na subira na hekima !
Huyo alikua hovyo huko monduli,ubabe wa kijingaHahahahaa hamna kitu
Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku
Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Hata kwa dingi yakoNikashitaki nini? Kwa nani?
Futeni kwenye vitabu vya wageni guest na hosp msituulize makabilaWw ni mkabila sana
Sawa mkuuMbende kutoka Rukwa
Hata kwa dingi yako
Sawa mkuu lakini siyo mbaya kama na wewe utanisaidia la wikiTeh... ndio umepata bando leo? Haya litumie vizuri kwa faida.
Sawa mkuu lakini siyo mbaya kama na wewe utanisaidia la wiki
Mkuu itawezekana kweli wakati wewe mwenyewe unatumia simu ya shemeji yako?Bila shaka. Weka namba.
Mkuu itawezekana kweli wakati wewe mwenyewe unatumia simu ya shemeji yako?
Mkuu isijekuwa shemeji yako ameacha simu chaji na wewe unaponea hapo, naogopa kuweka no utanipiga mizinga mkuuMkuu itawezekana kweli wakati wewe mwenyewe unatumia simu ya shemeji yako?
Mteule yeyote wa mawe ni low leaguer!Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.