Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

Arusha watu wana jielewa. Ntibenda kwakweli aliiwezea Arusha. Amani na utulivu uliopo Arusha uli letwa na huyu baba. Fitna za Gambo kutamani madaraka zika muondoa baba wa watu. Gambo akaja kuvuruga baada ya kuaminiwa na baba
neno
 
Wasifu wake sio muhimu kwa sasaivi. Arusha inahitaji mtu mwerevu na mwenye busara na hekima za kutosha
 
Sifa yake kubwa anapenda kutabasamu kisha baada ya hapo anacheka halafu anaketi
 
Hahahahaa hamna kitu

Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku

Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Nyumba gani tena?
 
ni MBOBEZI mzoefu ..kama alivyokuwa Kijiko.....
Gambo alimchomeka demu wake Catherine kwa Kijiko wakammaliza ...nadhani huyu atakuwa mjanja kujiweka mbali na mashangingi wa ccm Arusha
 
Mi nilijua ni mtoto wa kimata alikuwaga mwenyekiti wa halmashauri ya mbarali miaka ya tisini mzee kimata wa igawa kama sijakosea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…