Hiyo CV ni ndogo sanaNdugu Kidata ni mzaliwa wa wilaya ya Bunda, mkoani Mara, A-Level kasoma HGE Songea Boys High School pamoja na Mheshimiwa Kangi Lugola, akaajiriwa Idara ya Mahakama mkoani Tabora, baadaye akajiunga na UDSM kuchukua BA ya Economics, mwalimu wake akiwa ni Prof. Lipumba, Prof. Benno Ndulu pamoja na Dr. P. Mpango. Baada ya Kumaliza UDSM alijiunga na wizara ya Ardhi idara ya Uchumi na Mipango ambako alijiendeleza kimasomo ya uchumi huko Japan akahitimu Masters Degree, hatimaye akarudi nchini na kushika nyadhifa mbalimbali serikali hatimaye hivi sasa ni Kamishna Mkuu wa TRA. Hivyo anazo sifa za msingi kushika wadhifa alionao pia ni muadilifu sana!!!
and what is your point exactly?
Thanks mkuuI agree with u that the commissioner general Mr Kadata should be allowed to do what he knows best although he may not know everything about taxation. If there is an error in the law, it can always be amended and his CV has nothing to do with the error.
Ili iweje? Mbona ya lowassa ya kusakata kiuno ud hujataka?Kwa mwenye CV ya commissioner General wa TRA Bw. Alphayo Kidata tafadhali..
Ishu sio CV ishu ni Creativity kwa Dunia ya Sasa huon Bill Gates alivo sasa na anataka Kuinunua LinkedIn kwa madola KibaooCV for what? lets build the nation together
Ni mjomba wako? Mbona unamtetea sana?Mkuu
Mwache afanye kazi... nobody is perfect
Ni vizuri kuwajua vizuri watu tunaowapa nafasi za juu. Wahenga walisema wasiwasi ndio akili. Si unakumbuka kuna jamaa alipewa unaibu waziri wa elimu kumbe ni mweupe kabisa kichwani akaenda kwenye mkutano wa kimataifa akasema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika mwaka 11964. Historia rahisi ambayo siyo lazima wende shule kuijua. Lakini hata aliyekuwa anashikilia top job ni the country pamoja na kuwa ni mchumi kama alivyokuwa akijisifia, alipoulizwa huko ughaibuni alikokuwa anakwenda kuhemea vibaba, kwanini nchi yako ni masikini pamoja na utitiri wa rasmali za asili mlizojaliwa akajibu kuwa na yeye haelewi kitu anashangaa piaCV for what? lets build the nation together
shika adabu yako we selule... Kidata ni mtu wa Mara mimi ni mtu wa Manyara... wapi an wapi. Just FYI, mimi ni mhanga wa philosophies zake na nimeumia kweli, lakini sidhani kama a request for his CV would sort out anythingNi mjomba wako? Mbona unamtetea sana?
Kitilya ni mtaalam wa kodi aliyebobea, LAKINI UADILIFU WAKE NA UZALENDO KWA TAIFA???? MWACHENI KIDATA MWENYE SIFA ZA MSINGI ACHAPE KAZIshika adabu yako we selule... Kidata ni mtu wa Mara mimi ni mtu wa Manyara... wapi an wapi. Just FYI, mimi ni mhanga wa philosophies zake na nimeumia kweli, lakini sidhani kama a request for his CV would sort out anything
Issue sio utetezi bali kuweka facts right!!
NImekujibu kwasababu nimetaka kukujibu... otherwise, you are just one of a few selules around
ni kweli... kitilya ni jembe... na bado naamini kitilya sio guilty, lakini kidata aachwe afanye kaziKitilya ni mtaalam wa kodi aliyebobea, LAKINI UADILIFU WAKE NA UZALENDO KWA TAIFA???? MWACHENI KIDATA MWENYE SIFA ZA MSINGI ACHAPE KAZI
AiseeHii issue, hatuchelewi kusikia ametumbuliwa
MmmhhhNdugu Kidata ni mzaliwa wa wilaya ya Bunda, mkoani Mara, A-Level kasoma HGE Songea Boys High School pamoja na Mheshimiwa Kangi Lugola, akaajiriwa Idara ya Mahakama mkoani Tabora, baadaye akajiunga na UDSM kuchukua BA ya Economics, mwalimu wake akiwa ni Prof. Lipumba, Prof. Benno Ndulu pamoja na Dr. P. Mpango. Baada ya Kumaliza UDSM alijiunga na wizara ya Ardhi idara ya Uchumi na Mipango ambako alijiendeleza kimasomo ya uchumi huko Japan akahitimu Masters Degree, hatimaye akarudi nchini na kushika nyadhifa mbalimbali serikali hatimaye hivi sasa ni Kamishna Mkuu wa TRA. Hivyo anazo sifa za msingi kushika wadhifa alionao pia ni muadilifu sana!!!
..tangaza kazi akiapply utaiona tu,..Kwa mwenye CV ya Bw. Alphayo Kidata tafadhali.