kuna jamaa alikuja na sread moja akaorodhesha majimbo yatakayokuwa wazi na sababu zake kabla ya 2015'ile jokes naikubali sana
Kwa mwaka 2011 hebu mtaje unayemjua:
1.Aliye post jokes nyingi za kuchekesha ni........
2.Aliyechangia pumba kwenye thread ni.........
3.Mwenya hasira sana na za haraka ni.....
4.Waliokufurahisa kwa coment zao ni.....
5..........................
6..........................
7..........................
8.
9.
Hahahahaaaa wa kusoma inabidi tumpe u-FATHER X-MASS hope unamfaa sana....hahahahaaaaatehetehe tihiiii
wafuatao ni:
1. aliyechangia pumba kwenye thread hii ni .....wakusoma
2. mwenye hasira sana na za haraka ni ........kaka jambazi na wakusoma
3. waliofurahisha kwa comment zao ni..........superluimbo na erickb52
4. wasiokuwemo kwenye list .... mimi mwenyewe sakapal
na log nje
wakusoma ni lini ututatulia,mbona unaamsha hasira za watu,hapa ni mahali ya kurefresh minds,we kila thread humu lazima uharibu,nini hasa tatizo lako kwenye threads za watu,lini utakua,huoni hata aibu jukwaa nzima linakulalamikia,kwanini unakuwa sioYaani wewe pamoja na kutulia kote weekend hii umeona uje na hii mada? Sasa hii nayo ni thread. Haya bwana na hapo mke wako ei anakuandalia chai, anajua unafanya kitu cha maana kwenye PC kumbe unaandika upupu JF.
Halafu mkuu vipi ile mitihani ya darasa la tatu umeshasahihisha? Hlf mkuu pole sana nasikia shule yenu imefutiwa matokeo mtihani wa STD VII.
Kwenda zako wewe, unaikubali ni ya kwako?????????