Wasifu: Huyu ndiye Dkt. Bashiru Ally

Mungu Baba akubariki.
 
Kumbe chama chenu munawaunga vichaa watupu. Inamana huwamnasimamisha vicha wapigiwe kura na wasiovichaa mkitegemea washindeee??
 
Jenga hoja acha kubwabwaja
Na hili ndilo tatizo linalo wasumbua nyinyu Mataga! Yaani mnadhani kila anayeichukia ccm au mwenyekiti wenu kutokana na utawala wa hovyo, basi ni lazima awe Chadema! Poleni sana.
 
Ahahahahah mbona unampa laana mwenzio?
Sijampa laana bana ana mind minor issue kikubwa kutimiza malengo, Obama alikuwa president akiwa kwenye 50s while Trump and biden wamekuwa Marais kwenye 70s zao. Kikubwa kwenye maisha kila mtu ana mda wake wakutimiza malengo au ndoto, age isiwe limit ya kutokutimiza malengo yako
 
Usahihi: Barack Obama alikuwa na miaka 47 wakati anaukwaa urais wa Marekani
 
Kwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.
Jane ni kawaida Sana kwa miaka aliyoanza shule. Kipindi hicho waliokua wanawahi ni watoto wa waalimu tena hasa mijini na hapo ndio anaanza na miaka 8 au 9.

Waliosoma miaka hiyo achilia mbali kuzungusha mkono ili uguse sikio la upande wa pili. Watoto walikua ni msaada mkubwa Sana kwao wazazi hasa kulima na kuchunga au kama ndio mtoto wa kwanza kulea wadogo zako wakati mama anaendelea na mishe nyingine...
 

Anashangaa Bashiru,atafute Nyerere alianza shule ana umri gani?
 
Kwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.
Zamani shule zilikuwa chache, nilianza darasa la kwanza na miaka 11 mwaka 1989 na wakati huo Kuna waliokuwa na miaka 14 tupo nao, yaani wenye miaka 10 na 11 tulikuwa wachache
 

Ongera sana Dr Bashiru Ally, hata kabla ya uteuzi wa juzi kila nikiwaza naona wewe ndiye rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2035
 
Ww mtoto wa 1990s unataka kujifananisha na mtu wa 1968?

Acheni wehu basi aliyeanza la kwanza miaka ya 70 tofauti na nyie mlioanza la kwanza 2000 huko.


Kweli Tanzania bongo lala mingi sana

Miaka ya kati kati tu, 90 kama mkono haufiki masikioni huanzi shule

Watoto wa 2000 hao miaka 3 anaanza nursery 7 anaanza la kwanza watayajua vp maisha ya miaka ya 70 yalikuwa vp tena vijijini..
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…