Hoja siyo Uhuru wa maono guru au usomi. Hoja ya msingi ni maono na usomi unaoleta tija kwajami/ Nchi. Ulimwengu ni mvurugaji ndiyo maana baada ya kugundulika kuwa ni hatari kwa TAIFA letu. Alidhibitiwa haraka sana. Lengo lake lilikuwa lina fanana Govajov njinsi alivyo angusha USSR YAzamani. Usimuone hivyo hana Nina nzuri na Tanzania.Acha roho mbaya. Jenerali Ulimwengu ni Mtanzania. Hajawahi shiriki udharimu unaotaka kutuaminisha hapa. Unamsingizia mabaya kwa sababu ya misimamo yake ya kutopindisha lugha, akisimama kutoa hoja wenye akili huwa tunatulia kupata madini ghafi. Ana fikra huru, haishi kwenye kibuyu, haelekezwi cha kuandika. Ni msomi mwenye mawazo huru sio mtumwa wa mtu
Mrundi , mrundi rundi
Weye mbona zumbukuku na miye nimenyamaza sijasema?Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Mkuu nakuunga mkona, kuwa hata akina Dr Kayunze, Mr Luta, hawa wawili walikuwa ni wahadhili SUA masuala yaDS. Kulikuwa na baadhi ya wanachuo walio kuwa wanasoma SUA Walikwenda kwa Kagame kupewa madaraka na wengine walienda DRC.Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.
Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.
Una uhakika kwamba hakurudishiwa?Una hakika kwamba alirudishiwa?
Tatizo la ccm ukiwakamata pabaya utasikia wewe sio raia wa Tanzania ilimradi mfikie malengo yenu. Shame on you.Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
Aliomba kwa sababu alinyang'anywa kimagumashi kutokana na kutofautiana mawazo na waliokuwa madarakani. Elewa hapo. Ikabidi, kwa shingo upande, aombe uraia ambao ni haki yake. Sijui unaelewa?Mkuu hapo sasa unaposema aliomba na kupewa ndipo nawe unachanganya mambo. Uraia wa kuzaliwa ni haki yako na wala huuombi. Kama aliomba basi uraia wa kuzaliwa unakuwa umefutwa.
Nimesema alinyang'anywa uraia na sina kumbukumbu kama aliomba na kupewa ila kuna wakati alikuwa akifanya kazi kwa vibali.
Ana visasi dhidi ya nani na kwanini?!Siyo Mzalendo yule. Ni mnafiki kama Zitto. Ana hasira na visasi sababu nchi yake ya asili karibu raia wake wote ni watu wa visasi vya kudumu tena wengine wanarithishwa.
tutakuwa na taifa la kipuuzi hadi mwisho wa dunia, raia wa taifa la kigeni mnawezaje kumkabidhi nyadhifa alizo wahi kushikaa huyo anaye itwa Jenerali ulimwengu???............ni kuwa haifanyiki vetting ya viongozi kabisa au mnaibuwa ya kuibua ili kumu eliminate baada ya kutofautiana naye?.Siyo Mzalendo yule. Ni mnafiki kama Zitto. Ana hasira na visasi sababu nchi yake ya asili karibu raia wake wote ni watu wa visasi vya kudumu tena wengine wanarithishwa.
Law school alisoma chuo kipi?Ana degree ya sheria toka udsm vilevile ni mhitimu wa law school kama sijakosea so ni wakili pia
mkuu wanasahau kwamba ulimwengu amewahi kuwa mkuu wa wilaya nchini tanzania! umakini wa taifa sijui upo wapi kama tuna waajiri watu wa kigeni kushika ndhifa nyeti kama hizo.Aliomba kwa sababu alinyang'anywa kimagumashi kutokana na kutofautiana mawazo na waliokuwa madarakani. Elewa hapo. Ikabidi, kwa shingo upande, aombe uraia ambao ni haki yake. Sijui unaelewa?
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
Umeacha mambo ya msingi sana kuhusu Jenerali; ama kwa makusudi au kwa kutofahamu historia yake vizuri!!!Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.
Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
Kama hakurudishiwa basi aliomba akapewa. Nina uhakika kuwa ni RAIA wa TZ.Una hakika kwamba alirudishiwa?
Aiseee bhasi tuna matatizo makubwa kwenye mfumo watu wa kupata uraia pamoja na usalama,nadhani Nyerere asingeruhusu ilo litokee angalia kwa Mzee Kambona alichofanywaHoja siyo Uhuru wa maono guru au usomi. Hoja ya msingi ni maono na usomi unaoleta tija kwajami/ Nchi. Ulimwengu ni mvurugaji ndiyo maana baada ya kugundulika kuwa ni hatari kwa TAIFA letu. Alidhibitiwa haraka sana. Lengo lake lilikuwa lina fanana Govajov njinsi alivyo angusha USSR YAzamani. Usimuone hivyo hana Nina nzuri na Tanzania.
Ulimwengu ni boya. Hana kitu. Roho mbaya kama Kagame. Huyu alishiriki mauaji ya Rwanda 1994. Kwakuwa yupo upande wa kagame ndiyo maana hawezi kamatwa.
Ukisoma vizuri humu humu utapata majibu ya swali lako. Soma kwa ufasaha usiruke na kudharau post ya Member yoyote na utapata majibu.Ana visasi dhidi ya nani na kwanini?!