Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Huko kwenye makaratasi maprofesa huwa wako timamu...

lakini kwenye vitendo ni 'work done equal to zero'
 
Kwahiyo unajua mbowe ni hamnazo??
Mbowe kazaliwa mjini,kazaliwa kwenye hela,kasoma mjini,amekuwa kiongozi toka mtoto ni mtanzania wa vizazi vyote huwezi kumlinganisha na huyo mkodisho,madisikini bushstar wenu.
 
The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α)
Science Direct Working Paper No S1574-0331(04)70875-9

38 PagesPosted: 8 Jun 2017Last revised: 20 Jan 2018

Adolf Mulokozi
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.W.P. Kyobe
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J. Buchweishaija
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

L. Akwilapo
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.P. Magufuli
Ministry of Works

Date Written: September 2002

Abstract
We show in this work that in a real experiment, the decomposition of CaCO proceeds under variable extents of the departure from the ideal reaction conditions for a chemical rate determining step and the approach to equilibrium reaction conditions. The driving force to equilibrium reaction conditions is determined by the difference between the enthalpy change ΔH of the equilibrium reaction and the activation energy Ea according to the hypothetical chemical rate limiting step which fails to emerge. The variation of the apparent kinetic parameters Ea′ and A′ arises because the intermediate values of Ea′ between the extreme values Ea′ = Ea and Ea′ = ΔH are obtained depending on the variation of the heat demand of the endothermic interface chemical reaction, and the CO partial pressure. As Ea′ decreases, the driving forceto equilibrium reaction conditions decreases until the experiment gives the apparent activation energy Ea′ equal to the enthalpy change ΔH. This is when the pressure of CO becomes equal to the equilibrium pressure of CO. In this way we explain the physical significance of the variation of kinetic parameters.

Keywords: Physical Chemistry > Solid State Chemistry and Materials, physchem/0209004

Hapo tu panatosha kuonesha kwamba mzee kasoma sana na wachache wanabeza wakati hata degree ya kwanza hawana, au hata kidato.cha nne wamefeli,

Pia wataalamu wengi wa vyuo vingine kama Makerere na Nairobi university wame appreciate,

The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α) by Adolf Mulokozi, J.W.P. Kyobe, J. Buchweishaija, L. Akwilapo, J.P. Magufuli :: SSRN
Unajua rules za academic authorship? Unajiongelea tu. Ben angelikuwepo! Roles of first author and corresponding author ni zipi? Then hapo tuanze kwenda ndani kama Ben.... inatosha tusipotezwe kama Ben. Mjadala umefungwa!
 
Kwahiyo unajua mbowe ni hamnazo??
Mwinyi na mkapa hawakuwa nazo? Au wao hawakuwa vichwa nchi iliyumba na mwalimu nyerere?

Mshamjua mwenyekiti wenu kwa kupenda kusifiwa haingi hata nusu kwa uwezo wa utendaji kwa maraisi walipoita ambao hawakuwa vichwa
 
Mbowe ana masters ya maandamano mkuu!
Angalizo:Hasira hazitasaidia hapa.
Uchochezi ni kushindwa kufafanua kitu ulichokitetea mbele ya Maprofesa.
Najadili Sakata la Vyeti Feki na hali ya Ph.D ya Mhe.Magufuli.
Tuanzie hapa kwanza ndio tusonge mbele.Wale watakaomtetea sitaki kusikia eti tulimuona kwenye Korido za Chuo au Canteen au mara nilikua pale Chuoni wakati anasoma hapo.
Huo sio utetezi wa Kisomi.Jihadhari!

Kabla wale Malaika hawajatushukia kuzima mitandao na pia Wakati tunaendelea kusubiri atoe nyaraka alizoahidi miezi 5 iliyopita kuhusu Mshahara wake twaweza kuendelea kihivi ili akitoka hadharani atoke na nyaraka na ushahidi wa hili pia

Kwa kulitendea haki zoezi la Uhakiki wa Vyeti linaloendelea ,Naamini Watumishi wote wa Umma kuanzia Rais ,Nasisitiza kuanzia Rais uhakiki huo ulipaswa upite huko.

Najua Urais hauhitaji hiyo taaluma yake lakini nataka tuibue hoja ya uhalali wa Ph.D na suala la Uadilifu kitaaluma.

Ni jambo la Msingi sana katika vita hii ya kupambana na Mafisadi wa Elimu .

Ofisi kuu lazima ioneshe mfano na Rais Magufuli kama Raia namba moja ni lazima akaguliwe asiache shaka yoyote katika kuhakikisha kile anachojiita kuwa ndiye(Daktari wa Falsafa katika Kemia) .Alionesha mfano katika ukaguzi wa Silaha na pia suala la Usafi.Zoezi la Silaha limepita sasa ni ukaguzi wa vyeti Mkuu wetu.Sitarajii urudi nyuma

Niliwahi kuuliza kama Shahada ya Uzamivu ya Mhe.John Pombe Magufuli ni halalali na kama imekidhi vigezo Aliingia Lab kweli?Alienda kui-defend kweli kwenye Baraza la Taaluma mbele ya Maprofesa? Council ilikua imeundwa na akina nani? Sitaki kuhusisha maamuzi yake na suala lake la Academic maana haihusiani na İntelligence but just to be curious kipindi hiki anapotakiwa kuonesha mfano tu Kuna waziri wa Ulinzi wa Ujerumani nadhani Karl-Zu aliwahi kukutwa amedesa Ph.D yake ikamgharimu Uwaziri Suala hili linapaswa kujibiwa na Magufuli mwenyewe na sio msaidizi au Prof.Aliyemsimamia.

Tena Prof.Akijitokeza tutamuuliza kama kuna Publication yoyote aliyofanya kabla ya VİVA.

Ha ha ha!

Miaka hiyo nikiwa mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili niliposikia Waziri Magufuli katunukiwa Ph.D,kwa ufahamu tu wa kitaaluma na pengine kiherehere tu kilichoniandama niliwahi kuhoji hata kule JF kuhusu Duration ya Ph.D yake.Sikupata majibu.Tunalifufua tena kipindi hiki kwa kuwa yeye ni msema kweli ndio maana Prof.Ndalichako kama waziri wa Elimu ana ujasiri wa kukemea vyeti feki na alikemea wabunge na Mawaziri.

Niliuliza kama kuna Chapisho(Publication) yoyote aliyofanya kwenye journals

Najua sio lazima iwe Public maana nyingine zinawekwa kwa Journals tu na baadhi ya watu kushindwa kupata access lakini hata kama ingekua hivyo kwa sababu Mhe.Magufuli anajinasibu kuwa Muwazi na ana guts za kuita wengine ****** sasa atoke hadharani atoe chapisho lake

Mimi ni member kule Research gate.Nimetafuta chapisho.lake lolote hakuna

Halafu nimefukua kwa UDMS nikakutana na Sharti kwenye Prospectus ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwenye İbara ya 2.7.7 kwamba muda wa chini kabisa kwa mwanafunzi wa Ph.D ni Miaka 3 akiwa Mwanafunzi wa muda wote(Fulltime) na pia miaka 5 kwa mwanafunzi ambae sio full time Mhe.Magufuli yeye alisoma Ph.D kuanzia 2006-2009 akafanya research na kutetea tasnifu(Thesis) yake

Halafu kuna kitu naendelea kuki-study kwa undani hapa kisha naweza kutangaza Dau la mtu yeyote atakayeleta Publication ya Magufuli tangu amalize Ph.D

Kuna utafiti unaofanana sana na wa Magufuli uliofanywa na mwanafunzi mwingine Dr. J.Y. Philip na wote wanaonekana walisimamiwa na Prof. Buchweishaija katika utafiti uliokuwa unashabiiana sana wote wakitafuta namna maganda ya korosho yanaweza kutumika kuzuia kutu.

Dr.J.Y. Philip yeye anaonekana alikuwa na Sandwich programme kule Sweden iliyomuwezesha kukaa miezi 8 halafu minne UDSM kwa kila mwaka. Dr. P. Magufuli yeye anaonekana alikuwa ni full time student pale Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam peke yake. Alikuaje Fulltime akiwa Mbunge na Waziri?Kwa wanafunzi wa Ph.D wanajua mziki wake.

Halafu kuna kitu İnteresting hapa kuhusu huyu Dr.Y J Philip na (Dr?) Magufuli . Wote walimaliza shule muda mmoja mwaka 2009.Je, Ni kwanini Dr. P. Magufuli hana hata paper moja kwenye "Peer reviewed journal" kutokana na thesis aliyoandika?

Nimemkuta Dr.Philip kwenye Data zake.Twende kwa facts.Hakuna hasira wala mihemko.

Dr. J.Y. Philip
  • 2005 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2009 Ph.D. (Chem.), University of Dar es Salaam, Tanzania ( Sandwich programme with Swedish University)
  • Peer reviewed articles: 2
Philip, J.Y., Buchweishaija, J., Mkayula, L.L. and Ye, L., 2007. Preparation of molecularly imprinted polymers using anacardic acid monomers derived from cashew nut shell liquid. Journal of Agricultural and Food Chemistry, 55 (22), 8870-8876.

Haya kisha tena huku

Philip, J.Y., Da Cruz Francisco, J., Dey, E.S., Buchweishaija, J., Mkayula, L.L. and Ye, L., 2008. Isolation of anacardic acid from natural cashew nut shell liquid (CNSL) using supercritical carbon dioxide. Journal of Agricultural and Food Chemistry, 56 (20), 9350-9354.

Halafu sasa Mhe.Magufuli ikawa hivi

Dr. P. Magufuli

  • 2006 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2009: PhD (Chemistry); University of Dar es salaam
  • Peer reviewed articles: 0

    Nani alimuiga mwenzie?

    A Luta Continua,Victory Ascerta...

    Ben Saanane

    MUENDELEZO...............
    Onyo:Jana nilitoa angalizo kuhusu Mjadala wa Ph.D ya Mhe.John Magufuli.Nilitahadharisha kwamba utetezi wake unapaswa uwe wa kisomi na sio umbea wa kwamba tulisoma nae,mara tulikula nae msosi Cafteria. Kuna Maswali tuli-Raise jana.Tukasema atayajibu yeye kwa facts au Chuo Kijibu.Au Msimamizi wake.Wale wanaonitumia message ambazo hazina msaada kitaaluma waache.Nimeona hata Ma-Classmate wake hawamtetei kisomi

    Kuna Mambo mengine nimeyakuta tena huyu Profesa Joseph Buchweshaija aliyesimamia Andiko lililompa Mhe.Magufuli Udaktari wa Falsafa mwaka 2006-2009 pale Mlimani nina wasiwasi sasa kama anaweza kutoa honest opinion katika hili

    Miezi 8 Tu baada ya Rais Magufuli kuapishwa yaani Tarehe 5 Julai ,2016 Rais alivunja Bodi ya Benki ya Maendeleo (TİB) akamteua Mwenyekiti Prof.Kabudi kuchukua nafasi ya Prof.Lyakurwa

    Waziri nae kwa sheria na 9(1) ya Mashirika ya Umma sura ya 257 akatumia mamlaka yake kuteua wajumbe

    Miongoni mwao alikua Prof.Joseph Bwechweshaija aliyewahi kusimamia Thesis ya Rais Magufuli kwenye Chemistry

    Sasa ni Mjumbe wa Bodi ya Benki.Mkemia huyo!

    Haya aliyekua İdarani kipindi hicho Dr.Mabofu akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango (TBS)

    Tunaendelea

    Wengine wanadai hakuna haja ya maandiko yake au Ph.D yake ilimradi anafanya kazi.Veery Good.Sasa uhakiki wa vyeti unaoendelea wa kazi gani?Au Mkuki mtamu kwa Nguruwe tu?

    Hakuna Majibu alisomaje miaka 3 akamaliza wakati hakua mwanafunzi wa muda wote (full time) kama Mwenzake Dr.J.Y Philip aliyekuwa na Sandwich Programe Uswedi(Sweden)?

    Prospectus UDSM ibara ya 2.7.7 ilisema minimum kwa mtu anayefanya kazi ni 5 years na 3 years kwa Full time student

    Kama alikua Kipanga sasa huo ukipanga ulianza lini maana haoneshi kuwa na historia ya Ukipanga tangu alipohama Seminary na pia alipokuja kuunga Diploma kisha akaenda kusoma digrii akiwa kijana kabisa sembuse aje kuwa kipanga kwenye Ph.D akiwa Baba wa Familia ,Majukumu ya Ubunge na Uwlaziri? Sisi sio watoto wadogo.Please!

    Kuna Classmate wa Mhe.Magufuli alijitokeza jana na hata kunialika kwake eti akanielezee kuhusu hilo suala la Ph.D. Yaani Thesis na Machapisho ya watu wa Ph.D mpaka ualikwe sebuleni kwa mtu ukahadithiwe kama hadithi za kale katika karne hii ya sayansi na Teknolojia? Au Ofisini kwake? Yeye kama nani sasa? Wasomi wengine wakoje?

    Tena badala ya kujenga hoja kisomi wanatukana.Halafu ni wasomi wanaomtetea msomi mwenzao hao.Utetezi wa Viroja badala ya hoja

    Kuna Classmate anajiita Dr.Lawi Yohana wa Chuo Kikuu Huria. Jana tulim-challenge alete link yoyote ya kazi ya Kitaaluma ya Mhe.Magufuli.Tuliweka machapisho ya Dr.Y.J Philip aliyofanya kipindi hichohicho na kusimamiwa na Profesa huyohuyo kwenye suala hilo hilo la maganda ya korosho katika kuzuia Kutu.

    Tena ajue akileta Chapisho lolote hapa Turntin Software itahusika kwanza kabla ya yote maana hiyo ndio kiboko ya Wanaonakili au kuiba kkazi za kitaaluma za watu wengine(plagiarism)

    Alitoa utetezi dhaifu kuwa methodology sio shida.Research gap katika andiko la Magufuli na Mwendelezo wake ni nini?

    Ni nini Theoretical conflict , Empirical Method au arbitrage conflict? Taathira(effect) yake katika tatizo husika ni kitu gani?

    Baada ya Thesis yake hakuna paper yoyote .Hata kama halazimishwi na TCU au Chuo ukuaji wa Taaluma unaendana na Machapisho

    Dr.J.Y Philip ana Machapisho Kadhaa

    Kule Research Gate nimeona hata Machapisho 4 ya huyu Dr.Lawi Yohana na Moja likiwa kuhusu Maji Safi ya Kunywa ndani ya Jiji la Kibiashara Tanzania-Dar Es Salaam

    Lingine kuhusu masuala ya Vyoo.

    Kuna watu wanasema ni makosa kufukua machapisho au taaluma ya Rais

    Wataje ni kifungu gani cha sheria?

    Marekani mtu anapogombea Urais hata Thesis zake hufukuliwa

    Hii hutoa mtazamo kuhusu mawazo yake kitaaluma na madhara yake kimsimamo

    Obama aliandika "Aristocracy Reborn" akiwa Columbia University na kutuhumu waasisi wa Taifa la Marekani kutotoa Economic Freedom.Alijadiliwa

    Thesis yake kuhusu Soviet Nuclear Disarmament ndio ilizua mjadala hadi Supervisor wake Michael Baron akajitokeza.Aliandika kuhusu Foreign Policy .İnawezekana msimamo wake kwenye Thesis ulikua Controversial na lilikua suala la kimaslahi pegine Shirika la Ujasusi (CİA) likaingilia maana alijadili mada iliyokua na taathira katika Decision making hasa negotiation kwenye Disarmament

    John F Kennedy Thesis yake Harvard University ilikua Public ilikua "Appeasement at Munich:The İnevitable Result of the Slowness of conversion of the British Democracy from a Disarmament to a rearmament Policy".Ni ya Mwaka 1940 hiyo

    Tena sio wagombea Urais au Marais tu hata za Wachumba au Wake zao

    Michele Obama ilifukuliwa ya kwake akiwa Priceton University 1985 aliandika "Priceton-The Educated Blacks and Black Community"

    Sasa Prof.Joseph Bwechwashaija wa Mhe.Magufuli hawezi kujitokeza tena kama Prof.Michael Baron wa Obama

    Si ameshateuliwa?

    Tutajiuliza je Zoezi la Uhakiki wa Vyeti sasa si liendane na uundwaji wa Tume huru ya Kuhakiki Ph.D zenye Mashaka ikibidi wahusika wakazi-Defend Upya wakishindwa wafikishwe mahakamani?

    Haya Mambo yanachochea fikra za Nibebe hapa nami nikubebe pale na hivyo huzaa Ph.D za Hapa na pale,Masters za Hapa na Pale,Bachelors au Diploma za hapa na Pale

    With such a Malaise the future of Tanzania is in jeopardy

    Kuna suala la Uadilifu hapa na kupambana na Ubakaji wa kitaaluma.

    Bado naamini Mhe.Magufuli aweza kuwa mstari wa mbele kama Raia namba moja kama alivyofanya katika uhakiki wa Silaha

    Watetezi wake na hasa classmates wake wajiepushe na utetezi unaozidi kuzua mashaka maana wengine ni watu wazima lakini matusi nje nje .Tena Wasomi!?

    A Luta Continua,Victory ascerta...

    Ben Saanane
 
The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α)
Science Direct Working Paper No S1574-0331(04)70875-9

38 PagesPosted: 8 Jun 2017Last revised: 20 Jan 2018

Adolf Mulokozi
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.W.P. Kyobe
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J. Buchweishaija
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

L. Akwilapo
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.P. Magufuli
Ministry of Works

Date Written: September 2002

Abstract
We show in this work that in a real experiment, the decomposition of CaCO proceeds under variable extents of the departure from the ideal reaction conditions for a chemical rate determining step and the approach to equilibrium reaction conditions. The driving force to equilibrium reaction conditions is determined by the difference between the enthalpy change ΔH of the equilibrium reaction and the activation energy Ea according to the hypothetical chemical rate limiting step which fails to emerge. The variation of the apparent kinetic parameters Ea′ and A′ arises because the intermediate values of Ea′ between the extreme values Ea′ = Ea and Ea′ = ΔH are obtained depending on the variation of the heat demand of the endothermic interface chemical reaction, and the CO partial pressure. As Ea′ decreases, the driving forceto equilibrium reaction conditions decreases until the experiment gives the apparent activation energy Ea′ equal to the enthalpy change ΔH. This is when the pressure of CO becomes equal to the equilibrium pressure of CO. In this way we explain the physical significance of the variation of kinetic parameters.

Keywords: Physical Chemistry > Solid State Chemistry and Materials, physchem/0209004

Hapo tu panatosha kuonesha kwamba mzee kasoma sana na wachache wanabeza wakati hata degree ya kwanza hawana, au hata kidato.cha nne wamefeli,

Pia wataalamu wengi wa vyuo vingine kama Makerere na Nairobi university wame appreciate,

The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α) by Adolf Mulokozi, J.W.P. Kyobe, J. Buchweishaija, L. Akwilapo, J.P. Magufuli :: SSRN
yani huu utumbo wa chemistry form 3 ndo mnakuja kutuaminisha hatakama tulikimbia umande

Kibaya chajitembeza kizur chajiuza mnahangaika na jiwe kulipamba balaa mawe makao yake ni mitoni tu huku yanatupa shida kutembea
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ungeleta paper iliyofanya apewe Phd mwaka 2009 ingependeza.

Jinsi anapenda kusifiwa angeshaiweka mitandaoni
 
Sijawahi Kupenda Mtu au Kitu Kikaniangusha. Nilianza Nae Na Nitamaliza Nae Nilisema Tokea Mwanzo Kuwa Mgombea Atakuwa Kati Ya Yeye Magufuli au Mwandosya au Muhongo Na Ndoto Zangu Sasa Zinaelekea Kutimia. Najiandaa Kulia Machozi Ya Furaha Dr. John Pombe Magufuli Akipitishwa Rasmi. Ana Sifa Zote Za Kuwa Rais Wa Tanzania.
Unasemaje ge
 
Pepa hiyo ni ya 2002 imekuja kuwekwa mtandaoni mwaka nov 2017. Hapo alikuwa tayari 'kashapewa' Phd yake.

Kwa nini hajaweka pepa yake ya Phd lakini ameweka pepa ya waandishi watano?
Screenshot_2018-04-07-09-03-54.png
 
attachment.php

attachment.php

Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; wakati huo ikiwa Mkoa wa Kagera (sasa Mkoa wa Geita).
Ana Shahada ya Uzamivu ya Kemia (2006 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2009) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mwaka 1991 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salfordnchini Uingereza.

Mwaka 1985 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1988, alisoma Shahada ya Kwanzaya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.

Mwaka 1981 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1982, alisoma diploma katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
Mwaka 1979 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1981, alipata elimu ya juu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Mkwawa, Iringa.
Mwaka 1977 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1978, alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake, Mwanza.
Mwaka 1975 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1977, alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka 1967 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1974, alisoma Shule ya Msingi, Chato.

Mafunzo
Machi 1984 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Juni 1984 alihudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mpwapwa mkoani Dodoma.

Januari 1984 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Machi 1984 alikuwa JKT Makuyuni, Arusha.
Julai 1983 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Desemba 1983 alikuwa JKT Makutupora, Dodoma.

Uzoefu wa kazi
Mwaka 2010 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; hadi sasa: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Chato.
Mwaka 2008 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2010: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Samaki; Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).

Mwaka 2005 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2008: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato)

Mwaka 2000 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2005: Waziri wa Ujenzi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1995 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 2000: Naibu Waziri wa Ujenzi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1989 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1995: Mkemia Chama cha Ushirika cha Nyanza Cooperative Union (Ltd.), Mwanza.

Mwaka 1982 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1983: Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema (akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati).

Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa.

Ameandika vitabu na majarida mbalimbali. Ameoa na ana watoto kadhaa.
Sawa tumiona alivojitengezea kama bashite
Sasa tuwekee cheti cha babake na mamake na bibiake na na babuake na baba mzaa babake
Twende sawa na NONDO
 
Hivii kisomo choote hiki bado museveni anamsaidia kujibu maswali ya mwandishi!!!
Du yuu ravu korapsheni?!
 
Sawa tumiona alivojitengezea kama bashite
Sasa tuwekee cheti cha babake na mamake na bibiake na na babuake na baba mzaa babake
Twende sawa na NONDO
HV alivyoengeza vigezo vya mikopo chuo kikuu ingekuwa kipindi chake angesoma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom