Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Najiuliza maswali mengi sana juu ya cv ya Magufuli naomba mwenye kuijua anisaidie kuiona
 
Kuna mtu alikuwa anahoji sana Kuhusu PhD ya mhishimiwa, mpaka Leo haijulikani alipotelea wapi, mwaka wa tatu Sasa.

Huenda aliitwa pale UDSM wakamuoneshe, huenda bado wanahangaika kupekua mafaili na yy anasubiria.
 
Kwani matokeo ya form six yalikuaje hadi akaenda kwanza diploma?pia ni nini kilimtoa seminary na kumrudisha changanyikeni?
 
naomba mwenye vitabu au anayejua vitabu vya mheshimiwa anijuze
 
The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α)
Science Direct Working Paper No S1574-0331(04)70875-9

38 PagesPosted: 8 Jun 2017Last revised: 20 Jan 2018

Adolf Mulokozi
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.W.P. Kyobe
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J. Buchweishaija
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

L. Akwilapo
University of Dar es Salaam - Department of Chemistry

J.P. Magufuli
Ministry of Works

Date Written: September 2002

Abstract
We show in this work that in a real experiment, the decomposition of CaCO proceeds under variable extents of the departure from the ideal reaction conditions for a chemical rate determining step and the approach to equilibrium reaction conditions. The driving force to equilibrium reaction conditions is determined by the difference between the enthalpy change ΔH of the equilibrium reaction and the activation energy Ea according to the hypothetical chemical rate limiting step which fails to emerge. The variation of the apparent kinetic parameters Ea′ and A′ arises because the intermediate values of Ea′ between the extreme values Ea′ = Ea and Ea′ = ΔH are obtained depending on the variation of the heat demand of the endothermic interface chemical reaction, and the CO partial pressure. As Ea′ decreases, the driving forceto equilibrium reaction conditions decreases until the experiment gives the apparent activation energy Ea′ equal to the enthalpy change ΔH. This is when the pressure of CO becomes equal to the equilibrium pressure of CO. In this way we explain the physical significance of the variation of kinetic parameters.



Keywords: Physical Chemistry > Solid State Chemistry and Materials, physchem/0209004


Hapo tu panatosha kuonesha kwamba mzee kasoma sana na wachache wanabeza wakati hata degree ya kwanza hawana, au hata kidato.cha nne wamefeli,

Pia wataalamu wengi wa vyuo vingine kama Makerere na Nairobi university wame appreciate,



The Decomposition Kinetics of Caco 1. The Significance of the Kinetic Triple a, Ea and F(Α) by Adolf Mulokozi, J.W.P. Kyobe, J. Buchweishaija, L. Akwilapo, J.P. Magufuli :: SSRN
 
Hata profesa kabudi ni kichwa balaa ukija kwenye uhalisia hamna kitu wanayakataa misimamo yao pamoja na dokta mwakyambe au humjui profesa lipumba kutwa kukimbiza na wakina mtatiro alimu iko wapo hapo?
 
tunaomba ya mbowe nayo utuwekeee... au nyumbu yeyote wa ufipa aligusa science hata A level tu
Kuna mantik gani kuwa na wasomi vichomi wanaolitia hasara taifa huyo si ndo mnunuzi wa kivuko? Science yake ndivyo alivyoitumia? Au hujui kama muhongo bunge la escrow lilimmark kama dalali wa umeme na wakina seth singanga wasio na phd wanamzid ujanja? Weka elimu ya marehem deo filikunjombe kisha angalia na utendaji wake kama hamjafuta huo uchafu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom