Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Kuna watu wana haki ya kufikiriwa nafasi kama ilivyokuwa kwa Mrema!
Watu wamejitahidi kumpigania Magufuli!
Ktk thread hii nawapa big up wote waliosimama mwanzo mwisho na mwenyekiti wao pamoja na sisi wengine kupinga!
Tunawatakia kila la heri, msapotini m/kiti wenu mteule hadi dk ya mwisho! Uzuri wa kuwa na determination ni kuwa hakuna kujuta, umemtaka Mr. X utasimamia mpango wako, what come may!
Hatutowaombea mabaya Ila tutaendelea kutoa opinions zetu kwa kadri hali itakavyokuwa inajitokeza! Akifanya vema tutamuombea kwa Mungu, akiharibu tutamsema na kuwasimangeni washabiki wake!
Kwa sasa i wish you All the best!
Hakuna cha kujadili tena, kesho ccm wanatakiwa kumpitisha awe m/kiti, hakuna opinions zozote zinazoweza kubadili hilo!
Kila la heri once again Lizaboni na team Magufuli wote!
 
P
Alihamishiwa wapi baada ya form two? I dont find it reasonable.
Pia kama alianza shule ya msingi mwaka1967 alipaswa kumaliza shule ya msingi mwala 1973! Wakati huo serikali ilikuwa imepiga marufuku MTU kurudia darasa LA saba! Hapo yanatakiwa maelezo kwa nini alisoma shule ya msingi kwa mika 8!
Alihamishiwa wapi baada ya form two? I dont find it reasonable.

Ina maana alisoma shule ya msingi kwa miaka 8! Mimi nilianza shule ya msingi 1967 na nilimaliza 1973.
 
Mkuu, achana na hiyo misukule. Itakuumiza kichwa bure. Hakuna wanachoweza zaidi ya porojo
Upo wapi nataka majibu.
Mkuu, achana na hiyo misukule. Itakuumiza kichwa bure. Hakuna wanachoweza zaidi ya porojo
Mimi nakuomba kitu kimoja tu nikiamini wew ndye uliyetuletea uzi huu wa uongo kwa lengo la kupata uteuzi wa kubrash viatu vya mwenye nyumba. Nakuomba ipitie tena halafu njoo jukwaan nikuulize
 
Fisadi
Mbakaji wa demokrasi
Mkewe aligoma kumfanyia kampeni hadi alipobembelezwa na wengine ndani ya CCM.

 
Hutu ni Dr.wee unayesema alihamishiwa wapi baada ya form two huna hats Masters!
Jifunze kuandika vizuri ndio uje ufanye reasoning nami.

Pia inaonekana shule hizo huzijui vizuri. Huwezi kuhama Mzumbe kwenda Temeke sekondari. Lazima kuna sababu haitajwi nikizingatia shule yenyewe ni seminary nahofia ni either nidhamu au ufaulu
 
Asisahau pia kumwangalia kiongoz mkuu wa ufisadi awamu ya 4 huyu aliwalea mafisadi na kufisadi nao yeye na familia yake. Tunamuomba mheshiwa rais dr magufuli asimwonee haya kwa kuwa alikuwa kiongozi mkuu wa serikali hiyo.



Naam. Naamini kuwa ataanza na Luhwavi
 
1.Mzee watoto saba sio mchezo...kumbe ni mzima kwenye game.
2.Alihamia Lake baada ya kuchemka Seminary.. na yeye nikilaza pia.
3.Alikwenda kusoma Diploma ya ualimu baada ya kushidwa kupata points za kuingia UDSM au kwenda Makerere hili nalo na yeye kilaza..
4.Mpaka kesho bado natafuta research papers zake alizokuwa akifanya kwenye Masters au PhD yake sijawahi kupata..
 
Form 4 na form 6 alipata division ngapi pia chuo alikua na GPA ya ngapi?
 
Hakika ukiishi kwa kumtumainia Muumba kila kitu ni kitonga tu. Naomba wasifu wa Lowasa na Billicanas tafadhar, halaf Mbatia huwa naona ka alikoseaga muelekeo vile! Ila siku si nyingi ataungana na msomi mwenzie wayakamilishe vizur mambo haya maana naona dr Slaa alijitanabaisha mapemaaaa. Mjomba Maghu we re behind u
 
Katiba ya ccm hailazimishi kuwa mwenyekiti lazima atoke Tanganyiaka. Lakini tangu kuasisiwa kwake ma chair wote wametoka Bara. Katiba yao haisemi hivyo ila wenyewe wana sema ni mazoea. Mazoea haya yapo mpaka kwenye kugombea Urais wa Muungano.
Suala hapa kwa nini ccm wasimpe Dr Shein kuwa mwenyekiti wa ccm na magufuli akawa makamo? Jee kwa ccm wanawaona wenzao wa Znz ni maboya tu hawawezi kuwaongoza kwenye urais au hata uenye kiti wa chama chao?
Dr Sheni ana uzoefu wa chama wa muda mrefu na amekua makamo wa rais wa muungano kwa vipindi 2 na amekua rais wa znz kwa awamu moja. Ni mzoefu zaidi ndani ya chama ..
Kwanini mwenyekiti wa ccm hawezi kutoka znz? Kina Ali karume na vuai na sheni na kisonge jee ndio mlivo ridhia kuinganisha Asp kuwa wasindikizaji maisha ?
Nadhani wenye ccm znz wajitambue tu kuwa hichi chama kina wenyewe na wako dodoma nyie mnapelekeshwa tu..ni wakati wa kujitambua mkaachana nayo mkawaacha kina ali karume na shaka na vuai wanao panga maslahi ya watoto wao
 
Mkuu, kwani Mzee Mwinyi ni Mtanganyika vile? Tehetehetehetehe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…