Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Mi namkumbuka kesi zake na hasara aliyoliingizia taifa ,pia ni mtu ambaye alisomeshwa na kodi zetu na sasa anataka watu walioajiriwa wasisome
 
Hatuna muda na hiyo kitu kwani tupo busy kufanya kazi za kutuingizia kipato
 
Lakini uncle ni mbunifu cheki shati lake ametoka kivyake-yaani kijani unaitafuta na tochi halafu akamwaga njano-je kwenye hili kuna ujumbe?
 
Mnajipendekeza hadi kichefu chefu
 
Naam. Naamini kuwa ataanza na Luhwavi
Sio bure kama kuna chuo kinafundisha kozi ya uongo nafikiri wew unakifahamu na umehitimu vizur. Ngoja nikuulize kwenye kipengele cha uzoefu wa uongozi wa magu ndani ya chama; umetaja nyazifa zake tangu alipojiunga na chama mwaka 1977 je unaweza kututajia ni wapi japo sehemu nne tu na ni nyakati gani?
 
Kwan mkuu unahis kitu gani magufuli akikfanya atakukuna na kufanya uwe mshabik woke?
Mimi naunga mkono mambo chanya anayofanya kwa nchi hii,yale hasi nayapinga!Wasiwasi wangu ni pale atakapoanza kubalance mambo chamani na serikalini!So far wahanga wakubwa wa mabadiliko anayofanya ni wanaccm wenzake,na kiukweli ni Magufuli anayependwa na si chama chake na hii ni kutokana na yeye alivyojipambanua!Ikumbukwe hii ndio itakuwa mara yake ya kwanza kuwa kiongozi chamani!Sasa hapo naona makali yake yanaenda kupata butu!
 
Hakika. Nchi inaimarika na chama kinakuwa imara zaidi
Na wakati unajibu maswali usilete uongo wako maana nafasi za uteuz za Udc, Ded zimeisha, labda akuteua kubrash kiatu chake ikulu
 
Hivi huyo jamaa yenu alimshinda Lowassa au figisu na mabomu ya machozi
Lowasa mwenyewe kwenye kikao cha bavicha amekili wazi alishindwa uchaguzi kihalali..

Sasa wewe mpangusa viatu Vya Mbowe sijui bado unabisha nini.
 
Bado Nyumbu na elimu zao za hapa na pale watakuja kuponda na kudai hakuna kilichofanyika huku wakiendesha vitz zao kwenye km17000 za lami.!!!!!

Ndio kazi ya waosha Mafisadi wa ufipa iliyobaki.
 
Lowasa mwenyewe kwenye kikao cha bavicha amekili wazi alishindwa uchaguzi kihalali..

Sasa wewe mpangusa viatu Vya Mbowe sijui bado unabisha nini.
Mkuu, achana na hiyo misukule. Itakuumiza kichwa bure. Hakuna wanachoweza zaidi ya porojo
 
Mkuu, achana na hiyo misukule. Itakuumiza kichwa bure. Hakuna wanachoweza zaidi ya porojo
Porojo kama unazotuletea humu. Kuna maswali nimekuuliza hutaki kujibu we nijibu hata kama majibu ya uongo nikuongeze mengine
 
Porojo kama unazotuletea humu. Kuna maswali nimekuuliza hutaki kujibu we nijibu hata kama majibu ya uongo nikuongeze mengine
Mkuu, kwani si umtumia PM ndo atakujibu? Ukituma humu huenda asiyaone maswali yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…