Hakushika wadhifa,Lowasa alishika wadhfa gani CHADEMA kabla ya kugombea Uraisi?
Kwan we chadema inakuuma ninIts all about experience muache bangi tumieni akili mlizopewa na Mungu. Inakuaje mnamwamini mtu kupeperusha bendera ya chama ambaye hana experience hata ya siku mbili katika chama
Urais sio sawa na uenyekiti wa Chama!Uzoefu unaotakiwa kuongoza nchi na chama ni vitu viwili tofauti!Magufuli na Lowassa wote wanauzoefu wa kuongoza serikali lakini si chama!Lowasa alishika wadhfa gani CHADEMA kabla ya kugombea Uraisi?
Sasa kama anaenda kuiuwa ccm ninyi ukawa kinaawauma nin? Au kwnin mnawewseka hivyo?Urais sio sawa na uenyekiti wa Chama!Uzoefu unaotakiwa kuongoza nchi na chama ni vitu viwili tofauti!Magufuli na Lowassa wote wanauzoefu wa kuongoza serikali lakini si chama!
Hoja ni kuwa hana uzoefu wa uongozi chamani!Kwa hatua ilipofikia tayari ashakuwa mwenyekiti so hatumuamshi aliyelala coz kama kuchelewa tayari mliahachelewa!Sasa kama anaenda kuiuwa ccm ninyi ukawa kinaawauma nin? Au kwnin mnawewseka hivyo?
Sasa kinaawauma nin? Inakuaje adui yako anaelekea kuteketea halafu wewe unaumia?Hoja ni kuwa hana uzoefu wa uongozi chamani!Kwa hatua ilipofikia tayari ashakuwa mwenyekiti so hatumuamshi aliyelala coz kama kuchelewa tayari mliahachelewa!
Yaani adui kashaingia kwenye tanuru la moto,hizi mbwembwe unazoona ni chereko chereko!Sasa kinaawauma nin? Inakuaje adui yako anaelekea kuteketea halafu wewe unaumia?
Acha kujifarji maana unaumia sana jamaa kufanikiwa kuchukua chama.Yaani adui kashaingia kwenye tanuru la moto,hizi mbwembwe unazoona ni chereko chereko!
Kama amekuwa Rais sijaumia,nitaumia akiwa mwenyekiti wa chama kilichomnyonya mtanzania mpaka leo nchi ina uozo kila kona!Wacha akapitishe fagio huko,napendekeza aanze kutumbua Lumumba bk 7!Nyumba ya jirani tutasikia yowe tu!Acha kujifarji maana unaumia sana jamaa kufanikiwa kuchukua chama.
Kwan mkuu unahis kitu gani magufuli akikfanya atakukuna na kufanya uwe mshabik woke?Kama amekuwa Rais sijaumia,nitaumia akiwa mwenyekiti wa chama kilichomnyonya mtanzania mpaka leo nchi ina uozo kila kona!Wacha akapitishe fagio huko,napendekeza aanze kutumbua Lumumba bk 7!Nyumba ya jirani tutasikia yowe tu!
Hakika. Nchi inaimarika na chama kinakuwa imara zaidiTumepata Rais msomi sana awamu hii mungu amlinde adumu zaidi.
Kwani kuwa mjumbe siyo nyadhifa?Hapo ndo nimeshangaa mwandishi aliposema ameshika nyadhifa mbali mbali za uongozi kwenye chama....kumbe MJUMBE!!!!!???
Mkuu unaanza kuelekea kubaya..............mimi simo(LoL)πππHapa wangenyoosha vizuri na kwa uwazi! Waseme hiyo form 5 na 6 alisoma masomo gani matatu?. Asiwe na wasiwasi.....stashahada ya miaka mitatu kwa form 4 leavers ilikuwa inakubalika tu! Wenyewe walikuwa wakiita "half combi". Conceptually, inataka kufanana na hiyo "Special Diploma" ya UDOM!
Yalaaaa!πππ