William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Le Mutuz nahisi bwabwa. Maana nikiangalia body lake na matendo yake haviendani,Hv huko kwenye danguro lenu la CCM una cheo gani vile?
- Sasa wewe elimu yangu utalinganisha na nani huko UKAWA yaani wewe utalinganisha elimu yangu na Mnyika au Sugu are U kidding me or what? hahahahaha wewe wacha wewe mnakimbia shule halafu mlitegemea kuja kuleta maneno maneno JF nenda shule waambie viongozi wako waende shule now!! hahahahahau
Le Mutuz
Kukataa mzizi wa fitna tuwekee picha zingine na utoneshe vyeti
- Sasa wewe elimu yangu utalinganisha na nani huko UKAWA yaani wewe utalinganisha elimu yangu na Mnyika au Sugu are U kidding me or what? hahahahaha wewe wacha wewe mnakimbia shule halafu mlitegemea kuja kuleta maneno maneno JF nenda shule waambie viongozi wako waende shule now!! hahahahaha

mbona unacheka cheka tu kwenye kila post!!!! vipi mzima kweli wewe
Bora wao wamechaguliwa na wananchi wewe msomi eti mwenye digrii tatu mbona ulishindwa na mke wa jafarahi em kamwandalie mama yako wa kambo maji ya kuoga ametoka kukutafutia dona
- Sasa wewe elimu yangu utalinganisha na nani huko UKAWA yaani wewe utalinganisha elimu yangu na Mnyika au Sugu are U kidding me or what? hahahahaha wewe wacha wewe mnakimbia shule halafu mlitegemea kuja kuleta maneno maneno JF nenda shule waambie viongozi wako waende shule now!! hahahahaha
Le Mutuz
Wewe ficha aibu yako! Usijilinganishe kabisa na Mh. Mnyika!
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Hakuna cha kukufungulia thread wala nini We endelea kujichekeshachekesha kama bwabwa me watu wa Mtera mnanishangaza ukiliangalia li kibajaji nalo akili ndogo kama zako mbona wananchi wa mtera wanataabu jamani- Nifungulie thread hahahaha hii hainihusu U know hahahaha
Le Mutuz
Hakuna cha kukufungulia thread wala nini We endelea kujichekeshachekesha kama bwabwa me watu wa Mtera mnanishangaza ukiliangalia li kibajaji nalo akili ndogo kama zako mbona wananchi wa mtera wanataabu jamani
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]Watu wengine wanachekesha, eti kaendesha malori marekani, sasa anasubiria pensheni. Halafu now days ana ki blog sijui. Sasa degree zote 3 ni biashara zipi!!! Malori ya marekani na ki blog cha umbea??? πππ
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Nipo ofisini kwangu hapo Tancot House 2nd fl, zamani ilikuwa ofisi ya Air Tanzania so karibu sana I am broker hahahahaha U know ni kweli niliendesha malori nilipokuwa natafuta Degree 3 ndio zimenifanya niwe na ofisi kama hii downtown ok, hahahahahaha
Le Mutuz
Mbona unasinzia ofisini?deal hamna au?