Kinachoangaliwa sio unachodhani. Kwa sasa wanaangalia, wilaya kwa wilaya, ni nani ataweza "kushughulikia" chaguzi zinazokuja. Ndiyo maana imebidi wafanye mabadiliko makubwa saa hizi. Makonda ameonekana ndiye ataweza hiyo mikiki Kinondoni.
Dr. Slaa unadhani alipewa udoctor ka laprofeseli wa kilimo. Aka mic wa magogon.Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Dr. Slaa unadhani alipewa udoctor ka laprofeseli wa kilimo. Aka mic wa magogon.
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kuna jitu limeedit post yako hapo.
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mkuu ccm inakalia akili yako, ndio maana umekuwa mziiito! Lakini kuanzia October akili itakurudi na kila mtu atavutiwa ma michango yako mitandaoni!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
kumbe ni kichwa,maana zitto kabwe anayo ya 2.6.