In case you happen to be the only son of Malecela, bad news for him. unamtia aibu na kumzalilisha. jamani...kha!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kwani Mdau kasema kuwa siyo msomi? mkuu mwaga CV ya boss wako acha maneno mengi. Maprofesa wengi tu CVs zao zinajulikana na haluna kejeli vipi huyu msomi wako wa ulimwengu?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Acha upuuzi lete CV ya makonda hapaKama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Kumbe mpo wengi- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Nchi ngumu sana- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
hawa ni maboya watupuKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
umbumbumbu ni mzigo mzito sana. pia kuwa na mwili mkubwa sio kwamba na akili ni kubwa. ajabu yake watu wa akili kama hizi ndio wengi wapo serikalini ndio maana ushamba na ujiniga unawasumbua sana watu. ni washamba wanaohitaji kuhurumiwa.- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
umbumbumbu ni mzigo mzito sana. pia kuwa na mwili mkubwa sio kwamba na akili ni kubwa. ajabu yake watu wa akili kama hizi ndio wengi wapo serikalini ndio maana ushamba na ujiniga unawasumbua sana watu. ni washamba wanaohitaji kuhurumiwa.- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
kaka slaa ana PHD lakini au umesahauKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
we kweli kilaza, ye kama mkuu wa mkoa lazima cv yake iwe wazi- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Hivi aliyejibu swali ana degree tatu??? Mtoto wa chekechea angejibu hivi: "CV ya Mh. Makonda siifahamu" au " CV ya Mh. Makonda kwa ufupi ni kama ifuatavyo au inavyoonekana hapa".- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Hivi aliyejibu swali ana degree tatu??? Mtoto wa chekechea angejibu hivi: "CV ya Mh. Makonda siifahamu" au " CV ya Mh. Makonda kwa ufupi ni kama ifuatavyo au inavyoonekana hapa".
Unataka kujua kama anajihusisha na madawa ya kulevya.mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Ukishakuwa public figure lazima watu wawe na haki ya kukufahamu,manake unaishi kwa kodi zao!mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?