ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Mbona unapenda kucheka cheka kama kocho?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kumbe zombi kula kulala pole sana mpambe wa Chicago- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Duh mkuu kuwa na huruma[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Lifestyle ya upambe Kwa Devis Mosha ? Kukesha kwenye bar kuomba bia? Kubwa jinga bado unaishi Kwa wazazi huwezi nunua hata shuka ? Bado Asubuhi unaenda kugonga dirishani kusalimia wazazi , fanya mazoezi upunguze mafuta kwenye ubongo kunenepeana sana kumeathiri Akili zote zinaelelea kwenye mafuta .
Duh mkuu kuwa na huruma[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mbona unapenda kucheka cheka kama kocho?
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Duuuu we kiumbe upooo cv muhimu mdau usiogopeeee.
Mutuz naona wamekusahau tena ukuu wa wilaya- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Nimekupuuza kama Jussa ladhu alivyompuuza Amon mpanju- Ni kawaida ya makocho kujisema bila kuulizwa kama ulivyofanya hahahahahaha
le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Duuuu we kiumbe upooo cv muhimu mdau usiogopeeee.
Duuuu we kiumbe upooo cv muhimu mdau usiogopeeee.
Wewe Kubwa jinga CV yako ni nini ? Weka cv ya ole sendeka, Kinana , mangula , kibajaji , Lukuvi , Ana kilango, Profesa maji marefu na wenzako wote wanaokulea , Umeng'ang'ania cv kila siku !! Hivi Nani kakuambia cv hapa Tanzania zinasaidia kitu ? Kama zina msaada mbona Hosea wa Takukuru , akina Dau wa NSSF , ombeni Sefue wenye cv mmewatumbua Majipu? Mwenye Cv nzuri akina chenge , werema, Tibaijuka , Kapuya, Mwakyembe , mwandosya na wenzao wamelifanyia nini Taifa hili ?- Alikuwa Rais wa Shirikisho la Vyuo East Africa, Katibu wa Uahamsiashaji wa UVCCM, DC wa Kinondoni, sasa ni RC wa Dar please naomba sana uweke CV ya MWenyekiti wako tuone pumba na mchele upo wapi? hahahahahah
le Mutuz
Njaa mbaya saana, hivi huyu unayemuita msomi wa dunia na Dr. Rutengwe ungemuitaje?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kubwa jinga ana digrii tatu za Marekani kama zile za Lyatonga MremaBahati nasibu haijakudondokea?
weka cv yako kwanza pia uweke cv ya Mwenyekiti wako anayeishi Msoga aliyeondoka na kuacha Hazina ikiwa Tupu , Thamani ya shilingi inazidi kushuka dola ipo juu , usikariri Akili za boss wako Nape na kusahau kuwa wenye hizo cv zako ndiyo wamelifikisha Taifa kwenye Utitiri wa Majipu , acha kujitoa Fahamu fanya mazoezi upunguze Mafuta kichwani angalau utazinduka na kuacha Ujinga .- hahahahahah vipi CV ya mwenyekiti wetu hahahahahahaha
le Mutuz