Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

Watanzania tuna tatizo la ku underestimate watu based on their look or type of job!This guy is a talented leader..why don't we wait and evaluate him after he executes his duties and responsibilities?
Yaani kwenye mitandao teyari tumeshaqnza kumkatisha tamaa kabla hata hajaapishwa!
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!
Lets not judge this person,tumpe nafasi afanye kazi na rais baada ya muda tutaona..
Mkuu nilichokigundua mm ni kwamba watanzania wengi ni wanafiki sana roho zinawauma sana kuona mtu anapata mafanikio

Wanapenda sana kukosoa mbaya zaidi huyo anayekosoa hajui chochote Yaan wanaojifanya wachambuzi ndio mambumbu ambao wengi wanaishi kwa misaada na mizinga ..

Ukirejea hata mitaan wakikuona unakausafili wanaanza mara kigari cha mkopo.
Wakat hata kama ni mkopo hujaenda kukopa kwa baba yake.
 
Biography
Hudson Stanley Kamoga is a TV Personality, motivational speaker, professional MC, events organiser and actor. He was born on 23th February, 1978 at Kilimatinde Hospital, Manyoni District, Singida. His family shifted to Tanga in 1981 following his father’s transfer to join Tanga Fertiliser Factory.

Hudson started standard one in 1989 at Kange Primary school up to 1993 when he successfully completed his primary education and was selected to join Galanos Secondary school for further studies. Upon completion of his secondary education in 1997, Hudson joined Mam Early Childhood Training Centre where he graduated with a Diploma in Child Development and Psychology in 2000. For his excellent performance, Hudson was retained to teach at the college for the next five years.

In 2006, Hudson joined Celtel, one of Tanzania’s well established telecommunication companies currently known as Airtel where he worked between 2006 and 2008 . While working at Celtel, Hudson spent part of his time serving the community especially the youth through Amana Vijana Centre. At Amana Vijana Centre, Hudson worked extensively to promote positive behaviour amongst youth by organising events and conferences.

To further his education, Hudson joined College of Business Education (CBE) in 2006 up to 2008 when he graduated with a Diploma in Marketing. At that time, Hudson started working with Praise Power Radio both as a presenter and producer on part time basis. When he left Celtel, Hudson started his own business and he registered Kayson Events Solutions Ltd, a Tanzanian based company dealing with events planning and management.

In 2010 Hudson joined Tumaini University up to 2013 when he graduated with a degree in mass communication. In the same year, he was privileged to join a Leadership Program at Friedrich Ebert Stiftung (FES) for the period of one year. While at FES, Hudson was trained in responsible leadership, ethics and accountability, just to mention a few. Currently Hudson works with Clouds Media Group and he appears in Clouds TV’s morning news show known as Clouds 360. Apart from work, Hudson is also pursuing his post-graduate studies in Foreign Relations and Diplomacy at the Institute of Diplomacy.

Hudson is a family husband married to Monica Kamoga and are blessed with two boys namely David and Daniel.

Hudson is passionate about movies. Recently, he decided to living his dream as an actor. He has played George Lucas in one of the East African Movies Series known as One Month Date to be released this November. In the movie, Hudson is a bank manager trying to develop a meaningful relationship with a single mother, divorced with two kids namely Veneranda Thomson. Hudson Kamoga is a subscriber to East African Movies by Kileleni Production as presented by 24 Hrs Media in association with the East Africa Speakers Bureau. He lives in Dar es Salaam with his beautiful family.
Kamoga kasoma elimu ya msingi kwa miaka 5 tu,inaonekana alikuwa kichwa(JOHN KISOMO) kweli kweli
 
...
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!....
Daaah umenikumbusha lile liprofesa Lipumba vu
 
Niicheki CV namkubali huyu jamaa kuwa ni fighter na talented katika kitu anachofanya. Uteuzi wake kwenda kufanya kazi ambayo haiendani na ujuzi wake ni hasara kubwa kwa taifa. Jamaa alishafikia level ya kuwa na kampuni yake ambayo obvious imeajiri watanzania, leo hii unampeleka halmashauri akadhalilishwe na madiwani walioishia darasa la saba. Jamaa aliishaingia kwenye "bongo movies" ina maana alikuwa na kipaji cha ziada leo hii unampeleka akahangaike kugombana na wananchi wanaotaka barabara lakini serikali haijapeleka fedha...

Wakati umefika sasa tuwe na katiba ya ukweli ambayo itatuwezesha hizi nafasi za kitaalam ziombwe na watu wenye sifa na interest badala ya kupeana kama zawadi. Nina mashaka kama huyu jamaa ambaye tayari alishakuwa mtoto wa mjini, atashindwa kuongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ambulance ya kituo cha afya cha kata
Kwa level aliyokuwa amefikia bado anaweza kwenda mbali bila hata uDED, uteuzi umefanyika ana nafasi ya kukubali ama kukataa
 
Balozi Salim ahmed salim alipewa nafasi kuwakilisha nchi nje ya nchi kwa hadhi ya kibalozi akiwa before 30 yrs.mnaokumbuka naomba mnisahihishe
 
Wa
Kwamba anakuwa accounting officer wa Wilaya? Hii ni aibu. Wahasibu wameisha nchini?
Wahasibu ndo wanafaa kuwa accounting officer? Unadhan mhasibu na mtu wa maendeleo ya jamii au mipango au utumishi yupi anafaa zaidi.
 
Ukurugenzi tu anaitundika ki CV chake uchwara hapa akipata kazi BBC world sijui itakuwaje
 
Watanzania tunapenda kuwadharau watu au kujifanya tunawajua sanaa. Eti jamaa anatumia vyeti fake!! Zama hizi jamani na rais anawasaidizi kibao wote wasibaini udanganyifu huu na hali ya kukosoana iliyojitokeza tangu uteuzi wa mkurugenzi yule aliefananishwa na manager wa hotel bado warudie makosa? Tutumie akili kidogo tuache mambo ya wivu na kudharau vyombo vya serikali. Uongozi pia sio kuwa na shahada(degree) kibao. Kuna professors wangapi wamepewa dhamana za uongozi wamevurunda?
 
Jamani naomba kujua huyu bwana Hadson Kamoga ni DEDICATED wa wilaya gani kwa anaejua naomba anifahamishe.
 
Ndugu zangu naomba kujua huyu Mr Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi wa wilaya gani?
Anaefaham anijuze tafadhali.
 
Jamani naomba kujua huyu bwana Hadson Kamoga ni DEDICATED wa wilaya gani kwa anaejua naomba anifahamishe.
Ndugu umejaribu ku-Google ukakosa? Hint: Google Hadson Kamoga DED Mkurugenzi wa
 
Back
Top Bottom