Ndugu zangu naomba kujua huyu Mr Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi wa wilaya gani?
Anaefaham anijuze tafadhali.
Haya sasa... within 10 seconds nimepata jibu Mbulu... wala usingetumia muda wote huo!Ndugu umejaribu ku-Google ukakosa? Hint: Google Hadson Kamoga DED Mkurugenzi wa