Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Baavichaa wapo wapi waje waiweke CV yake humu maana wao wapo bize kudai CV za akina mwigulu,makonda,JPM,Ndarichako et.ell
Si ndio wako serikalini, kwanini hawataki kuijua ya kwako?
 
kwasasa acha papala tuachie kiongozi wetu.subiri afe utajua vizuri historia take kwa ujumla pamoja na elimu,KWANI ULIKUWA UNAJUA KUWA MASABURI ANA WATOTO ZAIDI YA 20 tulia acha ujinga.
 
Hongela wewe, mwenye elimu kubwa kagombee jimboni kwenu.
 
ndugu mm sikatai yote nahoji tu kuhusu bunge letu...halafu olesendeka pamoja na zero inaonyesha ana elimu ya darasa la saba sababu zero ni ya sekondari....vp kuhusu mbowe
Tuwekee ya kwako, ili tukutafutie kazi. Mboye hana shida na kazi.
 
Mimi ni mmoja ya wanaotaka kujua elimu ya mwenyekiti wetu kuficha haita tusaidia elimu ni kigezo muhimu katika uongozi.kunausiri gani kwa hili? Bila shaka wanatusikia,tunataraji watatuwasilishia, kwa niaba yake.
 
Hata kama mbowe angukuwa kaishia darasa la saba mi naona yupo bora kuliko yule mkurupukaji mwenye phd ya UDSM ila harimashauri yake ya ubongo umevurugwa.
 
Hata cc tusiowapenda hapo lumumba tunaunga mkono hoja yenu.
 
Kwani Tume ya Uchaguzi haijui elimu yake. Waulize walitumia data zipi kumpitisha kama mgombea uraisi 2005.
 
kuna haja ya kuangalia upya mfumo wetu wa elimu na kuuclassify vizur, sasa hao madokta na maprofesa huko bungeni ni aibu tu unapotaja wabunge 10 wanaoweza kusimamia na kutetea vizur hoja zao huwez kumuacha mbowe
 
Ungeongelea elimu ya yule jamaa aliyekopi jina la mwanakijiji n.a. mwisho wa siku akapewa ukuu wa mambo ya nchini ningekuelewa
 
HIVI UNAFAHAMU KISHERIA TANZANIA MTU ANAYETAKIWA KUGOMBEA URAISI INABIDI AWE NA ELIMU KUANZIA DARAJA GANI?, HEBU KAWAULIZE TUME YA UCHAGUZI WAKATI WANAMPA RIDHAA YA KUGOMBEA URAISI ALIKUWA AMEKIDHI VIGEZO? NA JE ALIKUA NA ELIMU GANI HUYO MBOWE? HAPO NINA UHAKIKA UTAPATA HISTORIA YAKE KAMILI YA URAIA NA KIELIMU KISHA HOFU ULIYONAYO ITAKOMA MARA MOJA NA KATA FUNUA ITAKUINGIA KWENYE DAMU NA HAKIKA YAKE UTAPONA TU.
 
Kwan Olesendeka ana cheo gani CCM?
Ata hivyo yeye ni bora kwakuwa alifaulu vizuri o-level kuliko mbowe alotumia jina la masikini a-level kwakuwa hata o-level alifeli pia.
Kama yote hayo unajua kwamba alifeli form 4 na A-level alitumia jina la mtu mwingine na alifeli, kwanini hayo yote usiyaweke hapa tuone hata hilo jina alilotumia ambalo sio lake? Kumbe kila kitu unajua sasa unataka nini? Mkuu weka hapa na sisi tusiojua tujue. Vinginevyo na wewe utakuwa unabwabwaja tu, hakuna unachojua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…