Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

mbona ccm mmekubali kuongozwa na zero olesendeka
ndugu mm sikatai yote nahoji tu kuhusu bunge letu...halafu olesendeka pamoja na zero inaonyesha ana elimu ya darasa la saba sababu zero ni ya sekondari....vp kuhusu mbowe
 
Elimu yake itakusaidia nn....hata ukiijua

Ova
Leo ndiyo unajua kuwa elimu ya mtu haisadiii ...Hovyo kabisa mlivyokuwa mnahangaika na elimu ya Mwenye nchi mlitaka uwasaidie nini ..
 
Kwani Africa tuna wasomi tuna makarani hata wewe uliyejipinda kuandika makala haya tukikuuliza elimu yako imesaidia nini Taifa hili na Bara hili kwa ujumla hakuna zaidi ya kuchafuana hicho ndicho tunachokiona.. Ingekuwa viwango vyenu vya elimu vina tija basi Taifa hili lisingefikia hapa baada ya miaka zaidi ya 50 ya kujitawala. Mie nikushauri tu ikiwa unayo hiyo elimu iwe ya kiwango chochote jiangaishe kuleta hoja zitakazo wasaidia ndugu zako wengi waliokupeleka shule! na usipoteze muda humu kwa porojo tumia hili jukwaa kwa masilahi ya wengi utakumbukwa...
 
Elimu ya huyu mtu, is a "Myth", wala hakuna mfuasi yeyote aliyetayari kuizungumzia, huu ni mwendelezo wa maswali yasiyokua na majibu.
 
Bila kujali kama ni muhimu kujua elimu yake au la, ninaona maajabu hili swali kuulizwa na watu wenye nafasi ndani ya ccm! Si huwa tunaambiwa ccm ndicho chama dola?! Kama aliwahi kuajiriwa BOT ina maana hakuna kumbukumbu zake huko? Idara na taasisi zote za serikali ya ccm hakuna penye kumbukumbu ya elimu yake?! Watumishi wa chama na serikali ya ccm kutoka eneo alilokulia hakuna mwenye kumbukumbu kuwa alisoma naye katika ngazi yoyote?! Kama kweli katika mifumo yetu hakuna penye taarifa rasmi kumuhusu, ni ushahidi tosha wa mamlaka zetu mbalimbali zilivyo za hovyo. Narudia tena kuwa sioni ubaya wa watu kuuliza kuhusu elimu yake, lakini ni ajabu kuwa hata viongozi ndani ya chama dola hawana namna ya kujua taarifa za mtu huyu!
 
Dangote anafunga kiwanda watu wanakosa ajira..wewe unaleta mambo ya elimu ya mtu huku itasaidia nini kwa mfano. Hao wenyewe PhD wanakusaidia nini labda mbona wengi tu alakini kilakitu ni mwendo kasi na on behalf of my self.
Acha izo bhana
 
Mwalimu, huyu dada ni msukuma majina adhim kuyatamka na kuyandika shida nikama kumwambia atamk majina yafutayo. Firdaus, Ummukurthum, Abdurrazzaq na mengine

Umm-Kulthum / Oum Kalthoum
 
Ameishia darasa la tatu

Haya

Una swali lingine?
 
Mliozoea kukaririshwa ni shida tupu ...ndo maana PHDs hazina tofauti na vidudu...
 
sioni utata wa elimu ya mbowe, ameishia form 6 hilo linajulikana.

otherwise ni kuchafuana tu


Ukiwa na zero ya form 6 ni sawa na aliyeishia form 4 tu. Na hapo bado hatujajuwa matokeo yale ya form 4.

Upo hapo ulipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…