Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Hebu weka hapa vyeti vya msemaji wa Lumumba
 
Siunaona hata wafuasi wake ni mtihani kichwani,
Wachache wanaojitambua ama shule kidogo ipo
Shida kwao ni uoga
Kwamba wakimpinga Mbowe
Hawamo CHADEMA
 
mods wakikuachia na hizi habari zako za kukashfu mtu nitawaona nao hawafuati sheri za JF BAVICHA tukisema hayo maneno mnasema uchochezi

swissme
 
Lakini Mbowe ni Mwenyekiti chadema hivyo huwezi kumlinganisha na msemaji wa Chama kingine!
Lakini inakuwaje Mbowe huyu anaifahamu lugha ya kusomea (English) kuliko yule wa PhD? Maana kama unajifunza kitu kwa kimakonde halafu kimakonde kikakushinda utahitimje hicho ulikuwa unajifunza?
Au ulikuwa unatumia lugha ya alama kama mabubu na viziwi?
 
Hao wenye elimu mpka leo wanaweka VAT kwenye ishu muhimu za kuingiza mapato wanasababisha mpka zinapoteza hata kile kidgo kilichokua kinapatikana, sasa wana faida gan
 
Lakini Mbowe ni Mwenyekiti chadema hivyo huwezi kumlinganisha na msemaji wa Chama kingine!
Uongozi ni kipaji tuliongozwa hapa vizuri na sheikh Mwinyi akiwa na diploma tu ya ualimu . Tumeshuhudia maprofesor wakivurunda,

Mbowe kaitoa Chadema kuwa ya wabunge 3 na kuifikisha hapo ilipo . He huoni hatua ?!
 
Hahah hata kama hilo lingekuwa na ukweli wowote ule lkn kujua lugha hakukufanyi intelligent!
Ila la Mbowe kushindwa kupita mtihani wetu wa kidato cha nne linatia shaka sana kumbuka tuna madaraja 1,2,3 na 4 sasa kama mtu ameshindwa kupata madaraja yote 1-4 ina maana ni below average, hivyo ina maana kama asingekuwa ni utajiri wa kurithi leo hii hata VETA asingeweza kutuma maombi na kukubaliwa halafu ndiyo anaongoza chadema yoooote, Duh!
 
Uongozi ni kipaji tuliongozwa hapa vizuri na sheikh Mwinyi akiwa na diploma tu ya ualimu . Tumeshuhudia maprofesor wakivurunda,

Mbowe kaitoa Chadema kuwa ya wabunge 3 na kuifikisha hapo ilipo . He huoni hatua ?!

Lakini Mzee Mwinyi alikuwa Mwalimu ina maana alipita mtihani wa kidato cha nne na kufika mbali kwenye carrier yake lkn Mbowe kama siyo utajiri wa kurithi ina maana hakuna Chuo ambacho kingemchukua!
 
Acha uongo mtu mzima! Huko high school alikwendaje kama kidato cha NNE alifail?
 
Lakini Mbowe hata mtihani wa Kidato cha nne hakupita, kwa standard yetu ya Kitanzania!

standard ya kitanzania according to nani? wewe? kwa mfano ufaulu wangu na wako nimekupita mbali sanaaaa.....kwa hio naweza kusema mimi ndio standard...alafu wewe utakuwa tabula lassa...Acha upoyoyo...jadili mambo ya msingi
 
Lakini Mzee Mwinyi alikuwa Mwalimu ina maana alipita mtihani wa kidato cha nne na kufika mbali kwenye carrier yake lkn Mbowe kama siyo utajiri wa kurithi ina maana hakuna Chuo ambacho kingemchukua!
Una chuki binafsi lakini kazi ya Mbowe inaonekana
 
Mbowd hajapata fursa ya kupata elimu kama ya kina Je...ska ambao wanapewa elimu ya makaratas kwa kuhonga
 
Unaweza kuwa msomi Na usiwe kiongozi, uongoz ni kipaji
 
standard ya kitanzania according to nani? wewe? kwa mfano ufaulu wangu na wako nimekupita mbali sanaaaa.....kwa hio naweza kusema mimi ndio standard...alafu wewe utakuwa tabula lassa...Acha upoyoyo...jadili mambo ya msingi

Standard ya Kitanzania maana yake ni kwamba ukifika kidato cha nne kuna mtihani mkubwa ambao lengo lake ni kupima uwezo wako, yaani kama wewe una uwezo wa kuendelea na Elimu ya juu au wewe una uwezo wa wastani yaani III-IV au wewe uwezo wako ni chini ya wastani yaani IV - kupanda/kujuu juu/chini!

Hivyo kama hauko kwenye I-III ina maana wewe uko chini ya kiwango!
 
Unaweza kuwa msomi Na usiwe kiongozi, uongoz ni kipaji

Hapana! Kuna intelligence na ndio maana Makampuni yote Duniani hata hapa nyumbani kabla ya kupata kazi kuna IQ test au wanaita aptitude test lengo lake ni kupima uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kutatua matatizo!
 
PhD. holder aliyesoma kwa kingereza hawezi kutengeneza hata sentensi.Anazidiwa na form three wa secondary ya kata.Shame upon you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…