CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Nimemwambia aweke ya wazazi wake kwanza tuone. Mbona anawakubali, ni kwa vile wanatenda pamoja na kuwa na CV isiyo nzuri kisomi. Wamemfikisha pale alipo bila CV ya maanaAngalia uwezo wa mtu-achana na ma cv.kuna ma profesa na madokta wengi ndani na nje ya nchi lakini ni bure
Tatizo lako maleziWeka ya baba na mama yako tuanzie hapo. Mvuto hauletwi na CV bali utendaji. Nina uhakika CV za wazazi wetu siyo nzuri kisomi mbona tuna mvuto nao. Acha ujinga
Mkuu hakuna taifa au chama cha kisiasa kimeendelea kwa uwezo wa ngumbalu lazima wasomi wawepo ili kutunga manifesto za chama n.kAngalia uwezo wa mtu-achana na ma cv.kuna ma profesa na madokta wengi ndani na nje ya nchi lakini ni bure
Mkuu tusaidie kama unayoUkisikiia yowwe ujue limempataa
In jamii forum " We dare to talk openly "Nimemwambia aweke ya wazazi wake kwanza tuone. Mbona anawakubali, ni kwa vile wanatenda pamoja na kuwa na CV isiyo nzuri kisomi. Wamemfikisha pale alipo bila CV ya maana
Sawa, kumbe mkuki kwa nguruwe,!!! Sijasema tusi lolote let us have a comparative CVology and then make an association study in relation to social outputs between those with good CVs and those without!Tatizo lako malezi
Inatakiwa kipindi cha nidhamu kianzishwe nyumbani kwenu
Weka ya baba na mama yako tuanzie hapo. Mvuto hauletwi na CV bali utendaji. Nina uhakika CV za wazazi wetu siyo nzuri kisomi mbona tuna mvuto nao. Acha ujinga
But don't run the reality , jaribu kuwa muungwana maana , masuala ya CV humu yametamalaki na kuhusishwa na uongozi hivyo Mimi Ni kutaka kufaham kiongozi wa KUB , wasifu wake nafikiri swali liko clearly sanaSawa, kumbe mkuki kwa nguruwe,!!! Sijasema tusi lolote let us have a comparative CVology and then make an association study in relation to social outputs between those with good CVs and those without!
Mkuu kama unayo tusaidiecv pekee aliyonayo ni mwenyekiti wa maisha wa saccos ya chadema
Mkuu ya Dr. Tulia iko wazi, tunahitaji ya KUB, Mhe Mbowe.Mbona huwa mnadai ya tulia.
Kijana wa Mzumbe changarawe shukrani ngoja Ni downloadhiyo hapo cv yake according to ofisi za bunge
Mkuu mbona hii CV ni hewa.hiyo hapo cv yake according to ofisi za bunge
wewe nawe bana...mbona yule wa gentleman au low class degree ya uchumi pale mlimani alikuwa anawaongoza maprofesa wote waliopo CCM.....Au nyani haoni kundule