maamuzi sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 288
- 165
Doooh majungu haya mkuuSasa kama hana cha kuweka unataka afanyeje? Alipoulizwa kuhusu elimu akasema ana Primary Education tu. form Four alipata zero. Kuhusu Work Experience akasema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwa DJ pale Bilicanaz.
Sio udj tu,ana miliki pia billcanaz,baba yako ana miliki nini?Sasa kama hana cha kuweka unataka afanyeje? Alipoulizwa kuhusu elimu akasema ana Primary Education tu. form Four alipata zero. Kuhusu Work Experience akasema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwa DJ pale Bilicanaz.
Jamaa alipata Sufuri kabisa kidato cha sita..na hapo alikuwa ana piga chabo!
Rafiki yangu Jingalao, sikujua kama hoja ni kujadili CV za wabunge, maana mimi mwenyewe ningeweza kuileta CV ya Mbowe hapa. Mimi nilichoelewa mjadala ni Kwanini CV ya Mbowe ipo tupu. Sasa wewe anzisha thread ya kujadili CV ya wabunge ili tujadili hilo unalolitaka. Kujadili kwanini CV ya Mbowe haipo haiwezi kuwa na maana sana kwa sababu kuwepo au kutokuwepo sio jambo la lazima au la kisheria. na ndio maana hata CV za baadhi ya wabunge ambao mnaona ni wasomi ziko tupu kama ya Mbowe ilivyo tupu!Punguza povu....si mnataka tujadili elimu za wabunge???
Lete CV ya Mnyika hapa
Aise mbowe anakuwasha sana eeeh... Mbowe ana akili ....ivi unajua kua umasikini ndio kipimo cha akili... Sasa jilinganishe wewe,familia yako na hata watu wako wa karibu na maisha ya mbowe alafu angalia yupi ana akili kushinda mwezie... Tetete yaani unafta cv ya mbowe.... Kwani hyo ndio kazi yako au.Leo nilikuwa napitia CV za wabunge wetu katika website ya Bunge Bahati mbaya nilipo msearch Mbowe ili nijionee Education background yake na Mambo mengine ya Kiuongozi nikaona Iko empty kabisa! Sasa najiuliza ni yeye hajapeleka CV. yake au yule anae manage Website ya Bunge alisahau kuiweka? Haina tarehe ya kuzaliwa,wala namba yake ya simu wala anuani yake!
Naombeni ufafanuzi kidogo
Shule gani hiyo?yaani afaulu kiasi hicho halafu achague u-DJ?
Kwa nini usiilete tuione na tuijadili...acha mikwara Mbuzi...weka CV ya mbowe hapaRafiki yangu Jingalao, sikujua kama hoja ni kujadili CV za wabunge, maana mimi mwenyewe ningeweza kuileta CV ya Mbowe hapa. Mimi nilichoelewa mjadala ni Kwanini CV ya Mbowe ipo tupu. Sasa wewe anzisha thread ya kujadili CV ya wabunge ili tujadili hilo unalolitaka. Kujadili kwanini CV ya Mbowe haipo haiwezi kuwa na maana sana kwa sababu kuwepo au kutokuwepo sio jambo la lazima au la kisheria. na ndio maana hata CV za baadhi ya wabunge ambao mnaona ni wasomi ziko tupu kama ya Mbowe ilivyo tupu!
Jiulize kwa nini Wachaga wamewakataa unaowaita wasomi na kumpatia ubunge Mbowe.
Ukumbuke Wachaga wengi ni wasomi na waelewa wazuri. Tafakari!!
Ni vizuri kuwa mkweli ....hatupingi kipaji chake che ku-scratch ...tunahojiana na hawa bavicha-4U wanaoleta hoja za elimu ya wanasiasa bila kujua huko chadema ni kusanyiko la wapiga dili wenye elimu ya mashakaAaa huwezi jua bana labda kuwa DJ ilikuwa ni ndoto yake tangu utotoni kwa hiyo shule kwake ilikuwa kama analazimishwa tu.
Anzisha hiyo thread hapa mjadala ni jambo jingine. Hiyo thread kama ambavyo tayari umeishapendekeza haitajadili CV ya Mbowe peke yake, bali itajadili CV za wabunge wote waliofeli kama tafsiri yako ilivyo.Kwa nini usiilete tuione na tuijadili...acha mikwara Mbuzi...weka CV ya mbowe hapa
Alifauru? ndomana bas! angefaulu asingesita kuiorodhesha. kwhyo ukipata F saba ndio umefauru div1!?uongo fani yako? mimi najua form four alifauru vizuri kabisa div1!
Duuuuh! Na tunategemea mawazo ya maendeleo toka kwake[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24]Bora ilioko empty kuliko hii ambayo haieleweki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 347830
Ni vizuri kuwa mkweli ....hatupingi kipaji chake che ku-scratch ...tunahojiana na hawa bavicha-4U wanaoleta hoja za elimu ya wanasiasa bila kujua huko chadema ni kusanyiko la wapiga dili wenye elimu ya mashaka
We sasa unataka aweke nini, Elimu yake ndio zile za "Hapa na pale"Leo nilikuwa napitia CV za wabunge wetu katika website ya Bunge Bahati mbaya nilipo msearch Mbowe ili nijionee Education background yake na Mambo mengine ya Kiuongozi nikaona Iko empty kabisa! Sasa najiuliza ni yeye hajapeleka CV. yake au yule anae manage Website ya Bunge alisahau kuiweka? Haina tarehe ya kuzaliwa,wala namba yake ya simu wala anuani yake!
Naombeni ufafanuzi kidogo
Halafu nyumbu badala ya kumhoji mwenyekiti wao kwanza wanakuja kuzungusha mikono huku!!There is NOTHING to be published. .. the empty cv reflects him ...!