Wasichana wengi walokole wanahusudu sana wanaume wahuni

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Hii dunia ina maajabu sana.Umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza sana sipati jibu ni kwa nini watoto wa kike wa kilkole hasa akiwa mzuri na akasoma hadi chuo huwa ni warahisi sana kwa wanaume wahuni.

Licha ya tabia zao za kuwa na tamaa kubwa ya kuishi maisha ya ufahari,bado wanamudu kujificha katika kichaka cha ulokole ili wajipandishe thamani.Wanaweza wakamkazia kijana mstaarabu kwa vile tu hana kitu,ila akija muhuni huwa hawaagalii ana nini.Wako tayari kujiachia kwa siri na muhuni yeyote ambaye wanajua hawezi kuwaganda huku wakisubiri bahati ya kuolewa na mtu mwenye uwezo wa kumiliki angalau gari.

Kuna mdau humu yeye huwavizia kwa Mwamposa siku kama ya leo jumamosi na huwapata hata watatu kwa siku anatembea nao.

Wengine ni wataalamu wa kuchukua mabinti wanaoenda kwenye mikesha na kumalizana nao fasta kisha kuwaacha waendelelee na ibada ya mkesha.

Ninyi Dada zetu hizi roho za tamaa za mali,ufahari na mihemko ya mwili,kwa nini zibawatawala namna hii?Hamjiulizi wenzenu watoto wa kiislamu mbona ni wastaarabu kiasi fulani?
 
So unajisiafia uzinzi na wazinzi wenzio..aliye kwambia kuwa watoto wa watumishi ni malaika nani..ni binadamu kama wewe tu...nao wanatamaa za kimwili..
Nakushuri ikimbie zinaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaan kwa sasa mapenz yalivyo mngeacha hata kuyazungumzia.Ni kichefuchefu....tena kichefuchefu.Yaan hata ukisema uguse kisimi umalize kwa nyeto ni kichefuchefu.I swear....I hate it
Hivi unadhani alieyafanya mapenzi kuwa kichefuchefu ni nani labda?
 
Kuna wale wanakwaya,huwa wanapita njiani wakiimba mapambio ya kumsifia bwana .....shida wanatafunana mno!
 
Hakuna cha ulokole kwenye penalti area. Yule Baba yao Mwingira wa Mwenge anafyatua sana hawa Wadada born again. Ushahidi usio na makandokando ni Ustadhi Rashid wa Kawe yeye na picha juu.

Wadada wengi 30+ ukiona yupo busy sana na kanisa ujue ni sun set na wapo tayari kuzaa na mhuni yoyote yule maana wanaamini mume bora anatoka kwa Mwamposa ama Kuhani Mussa. Suala la kuokoka lina mawanda mapana sana.

RC pale Kanisa la Roman kuna Padri mmoja alikuwa akilewa tu mlingoti unasimama akawa ananyandua sana wahudumu wa Bar.
 
Hakuna cha ulokole kwenye penalti area. Yule Baba yao Mwingira wa Mwenge anafyatua sana hawa Wadada born again. Ushahidi usio na makandokando ni Ustadhi Rashid wa Kawe yeye na picha juu. Wadada wengi 30+ ukiona yupo busy sana na kanisa ujue ni sun set na wapo tayari kuzaa na mhuni yoyote yule maana wanaamini mume bora anatoka kwa Mwamposa ama Kuhani Mussa. Suala la kuokoka lina mawanda mapana sana. RC pale Kanisa la Roman kuna Padri mmoja alikuwa akilewa tu mlingoti unasimama akawa ananyandua sana wahudumu wa Bar.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Mimi nataka kuamini wote wanaojifanya kusali kwenye haya makanisa ja kilokole haswa wadada hawaendi na ajenda moja, huwa kuna mawili matatu wanafuata haswa kwenye engo ya mapenzi
 
Watoto wa kiislamu wastaarabu kwa kuvaa nikabu au uwa hawaliwi na wahuni
 
Mimi nataka kuamini wote wanaojifanya kusali kwenye haya makanisa ja kilokole haswa wadada hawaendi na ajenda moja, huwa kuna mawili matatu wanafuata haswa kwenye engo ya mapenzi
85% ni wanafiki na waongo wanatiana sana hasara kwenye biashara wao kwa wao. Hauna mume hauna mtoto unajidai umeokoka kama sio ujinga ni nini.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Hii dunia ina maajabu sana.Umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza sana sipati jibu ni kwa nini watoto wa kike wa kilkole hasa akiwa mzuri na akasoma hadi chuo huwa ni warahisi sana kwa wanaume wahuni.

Licha ya tabia zao za kuwa na tamaa kubwa ya kuishi maisha ya ufahari,bado wanamudu kujificha katika kichaka cha ulokole ili wajipandishe thamani.Wanaweza wakamkazia kijana mstaarabu kwa vile tu hana kitu,ila akija muhuni huwa hawaagalii ana nini.Wako tayari kujiachia kwa siri na muhuni yeyote ambaye wanajua hawezi kuwaganda huku wakisubiri bahati ya kuolewa na mtu mwenye uwezo wa kumiliki angalau gari.

Kuna mdau humu yeye huwavizia kwa Mwamposa siku kama ya leo jumamosi na huwapata hata watatu kwa siku anatembea nao.

Wengine ni wataalamu wa kuchukua mabinti wanaoenda kwenye mikesha na kumalizana nao fasta kisha kuwaacha waendelelee na ibada ya mkesha.

Ninyi Dada zetu hizi roho za tamaa za mali,ufahari na mihemko ya mwili,kwa nini zibawatawala namna hii?Hamjiulizi wenzenu watoto wa kiislamu mbona ni wastaarabu kiasi fulani?
kuna mlokole mmoja nilimtongoza kimakosa sasa anavyoniganda hadi naogopa coz kuna wanakwaya wenzie anawachomolea lakin mimi nimeomba mzigo fresh bila kipingamizi halafu analeta malengo na mimi wakati anajua matukio yangu b4 na mchiz naungaunga life lakin ivyoivyo yupo, kila nikimtema atemeki atakaa kama mwezi ananitafuta hadi najiuliza kwani walokole wenzie hawaoni au ananitafutia lawama kwa jehova
 
Nishaopoaga mlokole mmoja hivi yani huyo ye na kanisa, kanisa na yeye,,, ase yule dada alinipenda mpaka mda mwingine analia machozi kisa tu wivu,, na isitoshe kwao umateumate ulikuwepo, tulitengana baada ya mama yake kuhamishwa kikazi mkoani, ila walokole wanajua sana kupenda
 
AAcA2h.jpg
 
Nimezaa na walokole wawili tena wote graduate hata bar hawataki kukaa muhuni na nyonya ngano naenda kubebishwa na mlokole
 
Back
Top Bottom