Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Ila Jamani mjue baadhi ya wanawake wanatuponza wanawake wote tunaonekana ovyo sana kiukweli tusitetee ujinga mpaka sasa ndoa zimekuwa mtihani mwanaume anashindwa kujua yupi kitabia anamfaa mwanaume anakutongoza Jamani hamjuani hamjaonana unakimbilia kuomba pesa kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije sometimes hatakama mwanaume alikuwa anania yakweli anakudharau Mimi siku zote nipo upande Wa wanawake wenzangu nikweli wanaume nimatapeli ila hii mwanaume kakufwata mambo poa unaomba hela anaweza akakupa akakuita akakutafuna ndoimetoka mwaname mvutie kasi kidogo nasio unamuomba direct unaji Fanya kuingizia kitu chako kimekwama unawaza utakisove vip yeye mwenyewe atajiongeza mpaka unamuomba mwanaume pesa mshakaa ata miez 3 au unajua mwanaume Wa kibongo wengi hawajui kutenga bajeti kila mwezi kumpa mwenzi wake mpaka waombwe Mimi kiukweli Jamani wanawake tubadilikeni sometimes tunajitakia kuzalauliwa Jamani mwanamke unambembesha mzigo mwanaume kama mzazi wako Mimi mwanaume kunihonga kila siku sitaki bwana ela unayonipa yamatumizi nifungulie genge ela izunguuke matumiz yatatoka hapa kiukweli mwanaume atakuona una akili sana kama anauwezo anakufumgulia kila siku vibomu mtu hatakukujulia hali inafika hatua anaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
seems mgeni mgeni mtandaoni, kuna watu kwa lugha ya mtaani tunawaita "madera" hawa ni wanaume wanatumia id za kike na kupiga vizinga wanaume wenzao.

kwenye social network za kitanzania ukiona tu mwanamke anapost picha picha za makalio, yupo tayari kutuma picha za utupu, anajibebisha kirahisi rahisi ujue hapo kuna walakini na kuna possibility kubwa ni mwanaume,

hakuna mwanamke mrahisi hivyo, mwanamke anapenda kusumbua sumbua na kuringa, hizo ndio sifa zao.
Umenifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikuambia kitu kama hutojali? ..block delete...zima simu...toa betri...lala..wangu wangu wangu...shenzy
 
Acha mpigwe tu maana show off nyingi mnazionyesha! mnaishi maisha ya kufake kuliko uhalisia,mwanamke hawez kukuomba hela hivihivi hadi akusome!na fyi muda mwingine mwanamke anakuomba hela kama kigezo ya kukufukuza maana unakuta umeshoboka na hata hujamvutia tena hicho kibomu kidogo mie ningekwambia nipe 500000 kabsa! khaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom