Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
wafipa, waha, wa balbaiki......
He heeee awaaap chagga ndio funika njoo tu kwenye list ya washiriki wa miss tz utapata jibu sikatai kama hayo makabila mengine wazuri hata wambulu nawakubali bt chagga nomaaa
Umooooooo
nini tena
Aaaa wapiii yaan wachagaa ni wa kuwahesabu
wafipa, waha, wa balbaiki......
Mkuu unahitaji miwani au? Wachagga ni wachache sana ndiyo wazuri na hawafai kuolewa na makabila mengine kwani ni majinamizi ya talaka kwa kuongoza kuwa na fake love. Wapare most ni ugly na shapeless na desturi zao ni kama ndugu zao wachagga.
kwa dusheleleeUzuri wa msichana unaupimaje?
Jamani acheni utani. Waha? Mama Diamond mmemuona jamani?
cheki na K-Lyn.. mtoto wa kiha yule
Waha yaan hilo kabilaa wao fani yao uchawi tu uzuri wautoe wapiii na ufupi wao huoo
Kwani hakuna waha wazuri?
Na hakuna wa iraki wabaya/?
cheki na K-Lyn.. mtoto wa kiha yule
Nimeipenda hiyo nakupa like.Wafipa ni wazuri kinoma alafu full nidhamu
Nimeipenda hiyo nakupa like.
posuta..