Wasichana /Wanawake wenzangu

Wakati mwingine tunahitaji wanaume wavumilivu na wenye akili ili kutubadilisha.
Duhh! hadi mbadilishwe na wanaume mmekuwa boxer!!? Watu wazima na mnajitambua mnasubiri kubadilishwa? Aisee
 
Kwa mara ya kwanza kukusifia kuandika ujumbe mzuri [emoji122][emoji122][emoji122]
 

Mmmmh haya shostie naona leo umekuja na style ya ukweli that's good
 
Ukikutana na wahivi katoe posa haraka. Yaani ukizubaa tu washabeba. Maana dada zetu ma role model wao ni kina sepenga. Wamesahau mwanaume anaweza kukupenda au kukutamani
 
Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
hahahahaha a hahahahaha mkuu mbona unatudhihaki wanawake
 
Ukikutana na wahivi katoe posa haraka. Yaani ukizubaa tu washabeba. Maana dada zetu ma role model wao ni kina sepenga. Wamesahau mwanaume anaweza kukupenda au kukutamani
Mbona mmekufa mioyo nasisi w wanawake jamani??? Kwanini lakini???
 
Hasa hapo kwa chakula cha usiku wajitafakari vizuri maana wakibana tu ndipo mwanzo wa kujitengenezea uke wenza utakaowagharimu sononeko la moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…