Hivi hii jinsia ya kike imewekewa nini? Namaanisha ni pilipili au upupu au nini? Inawezekana vipi mwanamke anatembea na mume wa mtu halafu ana kaboyfriend ambacho anajua kabisa kana demu wake na bado hakaoni haya kuvua chupi.
ukiona wote mmeingia kwa room na mnavua pichu na makufuli yote kwa pamoja ujue mnaambukizana. maana vikufuli hamvifui ni kuunganisha magoli mechi za mchangani na vichochoroni
Unajua tamaa ya mapenzi yaweza amshwa na mtu mme/mke mwenyewe au ikanyamazishwa na mtu mwenyewe, japo wengi hawaamini hili lakini wanawake/wanaume Watulivu wananipata vyema.