sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 11, 2012 #81 Kongosho said: Hivi hiki kweli hakikiuwa kidumu?? Mbona kimejitokeza haraka hivyo?? Kuna msemo, 'ukitaka kumjua mgoni wako, mwache mkeo' Haya, Judgy, karibu kundini. Click to expand... Hahahahaaa. Hiki kilikuwa kidumu kinachopata haki zote kama nyumba kubwa lol, haiwezekani mwenzie aache yeye abebe juu juu bila hata kujiuliza mwenzie kakimbizwa na nini. Konnie ukisoma i delete swahiba asione!
Kongosho said: Hivi hiki kweli hakikiuwa kidumu?? Mbona kimejitokeza haraka hivyo?? Kuna msemo, 'ukitaka kumjua mgoni wako, mwache mkeo' Haya, Judgy, karibu kundini. Click to expand... Hahahahaaa. Hiki kilikuwa kidumu kinachopata haki zote kama nyumba kubwa lol, haiwezekani mwenzie aache yeye abebe juu juu bila hata kujiuliza mwenzie kakimbizwa na nini. Konnie ukisoma i delete swahiba asione!