wasichana wanaopotea kwao.

Sijapotelewa ila huwa nashangaa hawapotei wa miaka 8-14 ila hawa tu.
 
Uporoto, mi nataka kujua
unajisiaje unapokuwa na mwanamke mkubwa sana kwa volume.

Na mie ntakupa ujuzi wa wadada wanaopotea.
huyo sio mimi bana mimi nina futi sita na Kabakabana shahidi yangu.
 
Sio aibu kubemendwa
ni sifa tu
ila sijajua ni sifa ya aina gani

usimkane shoga au husyn
niliwaona pala MachiMachi guest house.
Sijawahi kumpeleka mtu gesti huwa nawaleta nyumbani na msichana yoyote anayekubali kupelekwa gesti kadharauliwa na ajue hapendwi/anatumiwa.
 
Unajua miaka 30 selo naona haitoshi wangenyong'wa kadhaa hawa waharibifu wa wanafunzi wangekoma.
Hiyo sheria ingekuwepo, lawyer klorokwini tungekuwa tushampoteza zamani sana manake ndio zake kuchezeiya wanafunzi....
 
Kweli wewe kiboko
umemkana husyn??

Na ile picha yenu katavi aloweka unaikana?

Sijawahi kumpeleka mtu gesti huwa nawaleta nyumbani na msichana yoyote anayekubali kupelekwa gesti kadharauliwa na ajue hapendwi/anatumiwa.
 
Hahaha! Kabakabana mbona hajafikia umama jamani bado yuko kwenye twenties lol!

Uporoto ! Acha basi geujamaneno! Unajua kuna tik-taka, na chogo chemba , Una maana Katavi alivyokugusa jana abt Husn , unabaraguzia kwa Kabakbn ?
 
mie nimemshangaa
hajui kifua chake kinajiuza sana
angepata hata tenda ya kuvunja milango

Uporoto ! Acha basi geujamaneno! Unajua kuna tik-taka, na chogo chemba , Una maana Katavi alivyokugusa jana abt Husn , unabaraguzia kwa Kabakbn ?
 
Uporoto ! Acha basi geujamaneno! Unajua kuna tik-taka, na chogo chemba , Una maana Katavi alivyokugusa jana abt Husn , unabaraguzia kwa Kabakbn ?
Nipo na kabakabana kuanzia mkesha wa mwaka mpya lol!
Umenikumbusha mbali huyo chogo chemba umewahi kuona picha yake ? ana sura mbaya huyo walimwita eti ana 'sura ya kufa'.
 
unajua miaka 30 selo naona haitoshi wangenyong'wa kadhaa hawa waharibifu wa wanafunzi wangekoma.

kwenye ile kitu hamna kukoma mkuu! Fikiria jinsi wezi wanavyochomwa moto kinyama lakini wapi! Wazazi tujitahidi tu kuwadhibiti mabinti zetu kwa kuwapa elimu na kuwanyima uhuru wa kutoka toka bila sababu majumbani mwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…