Wasichana wabongo mnakera.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Unakuta msichana mzuri anavaa kinguo kama yupo chumbani na mpenzi mpaka wakati mwingine anatembea anaona aibu, kwani nani anataka kuona hivyo vipaja vyenu vibaya, acheni kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu hapa mpo afrika.
 
Mkiwa afrika wanatakiwa waweje?
Na mapaja mabaya kwa kigezo cha macho ya nani?

Katizame warundi au wakongo basi
 
Mkuu hapo hata kama ulikuwa una lengo la kuleta mabadiliko huwezi fanikiwa maana unatoa ushauri kwa wadada alafu na kuwaponda hapohapo
 
mzuri alafu tena unasema vipaja vibaya hahha wee nomaaa...wacha bwana tuenjoy sii ndio wanakurahisishia kaka...unaomba mgegedo akikataa unamwambia umejiweka kimgegedo gegedo
 
Mkiwa afrika wanatakiwa waweje?
Na mapaja mabaya kwa kigezo cha macho ya nani?

Katizame warundi au wakongo basi
Teh teh teh, Kongosho upo?
Africa inabidi wadada wasivae nguo kabisa. Wajisitiri tu hiyo sehem ya katikati! Kuvaa nguo ni kuwaiga wazungu!
 
Last edited by a moderator:
Africa inabidi wadada wasivae nguo kabisa. Wajisitiri tu hiyo sehem ya katikati! Kuvaa nguo ni kuwaiga wazungu!

Hata tusitumie mitandao ya kijamii kama Jf, tukitumia tumewaiga Wazungu.
 
Some time ni low self esteem(person's overall emotional evaluation of his/her own self)...Kwa nje maranyingi watu kama hao wanajionesha wanajiamini na mavazi yaoya ajabu ajabu(I don'give damn) lakini kwa ndani unakuta hawajiamini kabisa(emotinaly fragile)... Mtu anaakua amejazia lakini anaona bila kubana kisawawa sawa sitaonekana kama nimejazia...au bila kuonesha tits sitaonekana mrembo and all that...ni mchanganyiko wa mambo mengi ikiwepo na malezi pia...
 
Mkiwa afrika wanatakiwa waweje?
Na mapaja mabaya kwa kigezo cha macho ya nani?

Katizame warundi au wakongo basi

Kwanini wavae nguo basi? Wakae uchi kabisa ili hizo papuchi zenu zipigwe upepo kama za mbuzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…