figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
hadi sasa hivi sijaelewa kama ni heshima,utii au adabu.
wasichana wa nachingwea ni watu wanaopenda story sana.sisi huku dar tumezoea kuagana na marafiki zetu kwa kusema "badae".
lakini wale wa nach' ukimwambia badae lazima badae akutafute.
Mi nilishangaa nafuatwa 9t kali na msichana.kumuuliza nimsaidie nini eti mda ule si ulisema tutaonana badae? nkashangaa!!
kesho yake mwenyeji wangu kaniambia hawa wasichana wa huku ndivyo walivyo.hawana longolongo.
mia