Wasichana wa kisasa


ndio maana tunawapanda na kushuka tu, kwa matumizi ya kawaida tu!
 
Naona ka mada imekupiga gwala vile...
Isome vizuri kwa utulivu utaelewa tu!
Bado hujaelewa maana halisi ya sentensi yangu.. Mnapooana mnafanya hivyo kumfurahisha nani hasa? Ili kupata zawadi?
 
Hao ndo tunaowatumia kama Kondom au kama mpira wa Poool Table,,,Mwanamke wa KUOA anajulikana na wa kufanya nae MAZOEZI anajulikana.

ujue utakeyekuja kumwoa na yeye kafanyiwa mazoezi na jamaa mwingine, aliyeondoa bi***kr@a akamwacha alishamfanyia zoezi

Unajidanganya kwa kusema wa mazoez
 

Hii thread ina mashiko!!!
 
hahahaha kazi kweli kweli. Enzi zetu wengine zawadi kubwa ilikua chupa ya chai na mahot pot tena zawadi ya kamati unapewa feni. Mbona mna kazi vijana wa leo.
 
mhm! ukiona hivyo ujue hakupendi hawezi sema kazi za wakwe zake azijue huyo ni mtafutaji na mfujaji wa pesa zako hakuna mazpenzi hapo kwenye eeee "Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana,utamsikia 'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby mama' i love u so much Boflo"
 
hivi ndugu yangu Boflo ulitegemea kuwa siku hzi wadada wanamapenzi ya dhati hakuna labda mm peke yangu ninayeonesha mapenzi ya dhati kwa my potato wangu Mentor
 
Last edited by a moderator:
copy and paste....tumeshaiona hii long time
 

Thread hii inanikumbusha thread fulani hapa hapa JF ambapo mdada alikuja kutafuta 'maoni' ya jinsi ya kumtosa 'jamaa' yake baada ya mdada kupelekwa kutambulishwa kwa wazazi wa 'jamaa' huyo...!!
Baada tu ya kurudi toka huko kwa 'wakwe' watarajiwa, mdada hashikiki tena, anataka kumtosa 'jamaa'...
Kisa..?? Keshaona 'environment' ya huko kwa 'wakwe' watarajiwa...!! Hana hamu tena..!!
Mdada 'anaigia mitini' kukwepa 'environment' aliyoiona huko kwa 'wakwe' watarajiwa...!!
Mimi nikajiuliza, mdada kaona nini ..??
Leo ndio Boflo 'umenifungua' macho...!!!!
 
Inabidi uwe kama wanigeria.
Akikuliza baba ako na mama ako anafanya kazi gani, husijibu ila muulize na wazazi wake wanafanya kazi gani?

Akikujibu baba ake ni waziri,
Wewe sema baba ako ni mchimba makaburi hivo baba ake akifa wako atamzika, hachana nae.

munavamia wanawake wababaishaji
 
vijana wa siku hizi kazi mnayo enzi zetu unaletewa zawadi mkeka
 
Afu wa hivyo kwao ndo majanga matupu. kuigaiga tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…