Ellen Lacha
Member
- Nov 15, 2013
- 55
- 8
Uwezo wa kuelewa mdogo,maraaa oonh shule sijui imefanyaje!!!!!!
Sasa huku si kumshambulia mtu kwa "imaginary" mapungufu alojaaliwa!!!!!?????
Au huo ni wasifu tu niupokee kwa mikono miwili "kama tufanyavyo maofisini na majumbani" mbele ya mabosi wetu" hata kama hatumaanishi heshima kihivyo!!!!!
Was good chattin bhana no hard feelings wala grudges pamoja sissie Ellen Lacha meet you huko kwa thred nyinginezo!!!!!!
Sawa olei samahanii...kna post siikumbuki dzain kama ulinidiss hvi bla kuniambia nimekosea wapi and there is where nika anza na mie kurudsha hzo terms. am sorry bro wala sikuchukulii hvyo naongea tuu katka kueleweshana mbna una terms za kisomi wala usinikeep in mind that was just trying to swing your way..pamja
Last edited by a moderator: