Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Ni kweli si vema kuoa au kuolewa na mtu aliye acha na kuachwa,maana huwezi kujua ni kwani nini aliachwa au aliacha ni vema kama kuna ulazima ni vema kufanya uchunguzi wa kina,maana si wote walioacha wanamatatizo,ila la msingi hapa ni kwanini muachane?kwa nini msivumiliane?nijuavyo mkiwa mnapendana kweli kuachana ni zero,
 
Hapo kwenye red big up. Hilo ndo haswa la msingi nalozungumza mimi kwanini muachane?????
 
Jamani hivi tunaelewa tunachoandika humu? Au tunajifurahisha (Dena sayta?) hivi umeshawahi kuona ndoa ndoano? Waulizeni yaliyowakuta watu.
 
Sayu aidomaa??? Hatujifurashi bwana ndoa ndoana ndo hiyo inatakiwa kuvumiliwa na sio kuachana
 
nimeupenda utafiti wako nadhani hauwezi fanana na ule wa Redet au Synovate kwa maana ya sampuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom