Wasichana wa dar

Wasichana wa dar

Pole mkuu.wewe wasaidie tu.utalipwa na Mungu.😅😅😅
Hivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na familia...yani nimekutana na wadada watatu wote hivi hivi...na wengine wameolewa... sielewi elewi ata kama kuchuna mbona hamna ata aibu jamani au ndo umjini? Na wengne wana majina makubwa kweli
 
Back
Top Bottom