Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,722
- 6,056
- Thread starter
-
- #21
mmh..Mimi sio mzinifu mbona.
Inawekezana, right galz wako wapi hao/ pande zipi za Tanzania.Huenda unatafuta gud time kwa wrong galz
Hao hao around u,we kuwa mkweli sio unaingia na gia A ukitaka kitu BInawekezana, right galz wako wapi hao/ pande zipi za Tanzania.
na sio rahisi kukubali nikikwambia hvyo...inabid nizuge tuKama utaniambia twende tukagongane sina haja ya kukupa mipango yangu unakuja na gia , ya I love u na bla bla nyingi we ndiyo mwenye makosa
wasichana wengi walionizunguka ni kama mabomu ya ardhini ukishika tu, next day wanataka ndoa.Hao hao around u,we kuwa mkweli sio unaingia na gia A ukitaka kitu B
Itakuwa ndio gia unayoingia nayo hiyowasichana wengi walionizunguka ni kama mabomu ya ardhini ukishika tu, next day wanataka ndoa.
Kibongo bongo umeshawahi kumpa mzigo mnyamwezi for the sake of good time? tuanze hapo kwanza.Itakuwa ndio gia unayoingia nayo hiyo
NopKibongo bongo umeshawahi kumpa mzigo mnyamwezi for the sake of good time? tuanze hapo kwanza.
Basi tukiganda shauri yako.. unaweza niambia hey naweza pata company yako. Nitakujibu ndiyo haya niambie sasa ukweli umevutiwa na me na mi nione kama nimevutwa mbona hapo unaeleweka tuna sio rahisi kukubali nikikwambia hvyo...inabid nizuge tu
Basi tukiganda shauri yako.. unawezana sio rahisi kukubali nikikwambia hvyo...inabid nizuge tu
Wanawake wa jinsi hyo kizazi chao hatujakifikiaBasi tukiganda shauri yako.. unaweza niambia hey naweza pata company yako. Nitakujibu ndiyo haya niambie sasa ukweli umevutiwa na me na mi nione kama nimevutwa mbona hapo unaeleweka tu
Basi tukiganda shauri yako.. unaweza
Huyo Mwanamke ulie mpata atakua chini ya kiwango,ivi mwanamme hata hujui kama kikojozi au hata kama anapiga msuwaki asubuhi unaanzaje kumwambia habari ya kuowana hata kumjua kwenye humjui! huyo atakua anatafuta hifadhi,a real woman hajipeleki kwa mwanamme kama pipi hivyo kwanza sikuizi wanawake wengi wanajitambua na wanajua kua wanaume wengi hukodisha nguo kwa dobi na wanakodisha gari kujishaulia bara barani...Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wapo very serious na ndoa na watoto? Mtu unamkuta ofisini,club au mtaani unamtongoza anakupa game mara kesho yake anakwambia anakupenda sana hadi anadiriki kuanza kuelezea mipango yenu ya maisha ya pamoja ya ndoa. Acha hiyo wengine baada ya game hata kama ulitumia kinga baada ya wiki anakuja na habari ya mimba na ukimdadidisi unapata hisia kabisa hiyo mimba ilitegwa sasa ningependa kupata maoni ya wadada kwanini mnalazimisha sana ndoa na watoto ambao sisi hatuwataki au hamjui saa nyingine wanaume tunataka good time na siyo drama za ndoa na watoto.
Hata Sijakuelewa bi dada unamaanisha niniKuna a friend of ours alituuliza "eti mwanaume akiuliza una mtoto?,si ina maana ana malengo na wewe"...
Tukamwambia hatujui ila don trust him...
Alichofanyiwa imebaki story kila tukimeet...
Swali moja tu akahisi the guy is sooo into her...sad
hahaha mkuu mwanaume mwenzio huyo shauri yakoUkiambiwa live bila chenga utaenda?? Tatizo mnapendwa kudanganywa kwanza