Wasichana Punguzeni Kucha

Nimefurahishwa na huu uzi,
binafsi nina kucha ndefuuu zenye
mvuto na sina mpango wa kuzikata.
 
Pole Madam T naamini hukutapika, ndio muwafundishe wadada wenzenu usafi hatuyapendi hayo makucha yenu na ile harufu mbaya wakati wa game

Sikutapika maana ilibidi niache kula bwana, mimi jamani wadada walivyokazana na hayo makucha nilikuwa nafikiri wadau ni nyie, nimeshangaa sana kujua kwamba hamyapendi!. Mdada anaweza kulalamika mpenzi wake kamuacha bila sababu kumbe ni makucha tu ndio yamemponza...
 
Huo udhamini utawaua.......Mtaanza kutembea uchi mchana kweupeeee.......Nadhani issue si udhamini hapa....Matangazo zaid!!!
 
Nani anakudanganyeni? tatizo mkiambiwa majumbani tena laivu mnaweka mgomo wa unyumba hapa JF utamgomea nani unazani? toeni mikucha hiyo bana inasababisha tetanus (Dr Riwa atasibitisha hii)

makucha tunafuga kwa raha zetu. Kinaachwa kidole kimoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom