Wasichana: Ngono haimfanyi mwanaume akuache ila tabia

Wasichana: Ngono haimfanyi mwanaume akuache ila tabia

Kipenda roho hula nyama mbichi,wewe kwa upande wako umeona hvo lakini kila mtu anapenda kinachompa furaha yeye ndo mana mwingine unakuta yupo na bint mtulivu tabia nzuri na pia yupo na mwingine mcharuko mambo mengi lakini anakuja anambwaga huyo mwenye tabia nzuri anabaki na pasua kichwa ko mapenzi hayana formular..yanafata vile you feel inside your heart.
 
Hiyo ni shida ya kuruhusu moyo kwanza kuliko akili. Ndo matokeo yake hayo.
 
tutaolewa hivyo hivyo yaaan nyie mnaosubiri vigezo vya peponi subirini
 
Acheni urongo we see women of all calibers getting married each day,kila mtu na type yake,wengine kwa maisha alonayo anahitaji mwanamke mafia flani hivi,sasa hizi criteria ulizotaja hazifit muda wote
 
Muanzisha uzi subiri mawe zaid kutoka kwao walengwa
 
Wadada wengi wame-panic, inaonekana mleta uzi kawagusa vilivyo. Poleni kwa kujipa tumaini, ndo mnazeeka hivo mkisubiri kuolewa.
 
kuna mmoja alisema humu kuwa yeye haoi tabia maana hatotembea na tabia, sijui huyo unamwambiaje??

Leo naona mmewaamulia wanawake, mada nyingi ni wanawake tuuu.
 
kuna mmoja alisema humu kuwa yeye haoi tabia maana hatotembea na tabia, sijui huyo unamwambiaje??

Leo naona mmewaamulia wanawake, mada nyingi ni wanawake tuuu.
Wanawake wanawaendesha sana,kusema live hawawezi wanakuja kupumulia mitandaoni
 
Hizi ngonjera wala huwa hazina uhalisia hata kidogo, hazina uhalisia hata kidogo
Watu tunatofautiana, hata vigezo vya kumtafuta mwenzi vinatofautiana pia....
Kama we unapenda tabia, wengine wanapenda sura, wengine shape n.k sifa zako sio sifa za kila mtu kukariri hizi ujinga muache
Kubwa katika maelezo yote ni kitu kipi kinaamua mda wa ndoa "Tabia" akasema sababu ya kuolewa ni kweli wengine wanataka shape but tabia ndio itaifanya ndoa kudumu
 
Back
Top Bottom