brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa, ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia halafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, halafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha?
Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu.
Unaintend kuwagombanisha hao marafik??kwanin uende kwa rafik ake......mim personally ningechukia pia ila kama tu huyo rafik angu akiwa ni rafik wa karibu sanaa tunaeambiana mambo yetu