Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,456
Waasalamu
Leo katika tafakuri zangu za hapa na pale nikakumbuka kisa cha dada yangu ambae ni mtoto wa mama yangu mkubwa.
Sister wangu huyu alienda kushitaki kwa babu yetu mzaa mama kwamba mume wa mama mkubwa (baba yake wakambo) huwa anamtongoza na anamtaka kimapenzi.
Kesi ilikuwa kubwa sana lakini hatimaye ikaisha baada ya bwana yule kuomba radhi na kuahidi kuacha tabia hiyo na binti akahamishiwa kwa babu.
Huyu baba wa kambo baada ya kama miaka 7 aligundulika kuwa muathirika na hatimaye yeye na mama mkubwa walifariki dunia.
Kisa kingine nilikisikia nikiwa masomoni Uingereza kilimtokea binti ninayemfahamu. Binti huyu alikuwa anasoma high school.
Sasa siku moja aliandika kinoti kwenye karatasi akawa anampa mwenzake asome darasani huku mwalimu anafundisha. Tabia hiyo huwa hairuhusiwi. Mwalimu akaona na aka demand kuona kilichoandikwa. Figisu figisu ikabidi mwalimu apewe kile kinoti.
Ndani mwalimu akakuta binti amendika "baba yangu wa kambo leo asubuhi amenibaka tena na amenipa pound 20 ameniomba sana nisimuambia mama wala nisimuambie mtu".
Binti huyu alikuwa anaishi na mama yake na baba wa kambo na mama yake alikuwa anaondoka saa 11 asubuhi kwenda kazini akimuacha baba wa kambo na binti nyumbani.
Baba wa binti yule alikamatwa siku ile ile na alikuja kufungwa miaka 20.
Kisa cha mwisho kwa leo ni cha binti mmoja aliyepandisha mashetani katika kanisa la walokole. Mapepo yakasema yalimuoa huyo binti kabla hata hajavunja ungo na kuanza kuzini nae na wana watoto pamoja.
Binti alipozinduka pia alisema amekuwa anateseka muda mrefu sana maana hayo mapepo hua yanakuja kwa sura ya baba yake au kaka zake hivyo huwa anaota anasex na baba yake au kaka zake. Na kuna siku aliota kaka yake amemuingizia uume mpaka umetokea mdomoni. Aliamka analia sana lakini hakuweza kumwambia mtu yeyote ni nini kina mliza. Mateso, majanga.
Je, wewe una kisa gani cha majanga wanayopata wasichana na wanawake.
Please share your experience.