wasichana na chuki kwa wanaowatoa usichana.

rafikimkweli

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
349
121
Ebwana , sijui hii inatokana na nini.

Kuna demu niliwahi mtoa usichana wake, it is almost ten years now, bado hanipendi tu...tulikuja achana baada ya yeye kuhama mji kwenda kusoma ukawa ndio mwisho wetu.

Sasa najiuliza nili mfanyia nini huyu beibe ku deserve this hatred, as i was the one who taught her how to even kiss jamani, hakua anajua hata dushe iko na rangi gani...

Yaani nachukiwa nyie, na mimi siipendi hii hali.
 
kwani ulikuwa unataka ufanyiwe nn, ili uone hauchukiwi. Au ulikuwa unataka kukumbushia?
 
kwani ulikuwa unataka ufanyiwe nn, ili uone hauchukiwi. Au ulikuwa unataka kukumbushia?
we are all human beings, sihitaji uadui bana yeye anakazia bifu hata mi hazinihusu, chanzo chake sikijui ndugu, nikijaribu kuangalia chanzo cha uhasama sikioni..
 
we are all human beings, sihitaji uadui bana yeye anakazia bifu hata mi hazinihusu, chanzo chake sikijui ndugu, nikijaribu kuangalia chanzo cha uhasama sikioni..

Siajelewa hizo bifu zinatoka wapi. Kwani mnaishi pamoja au majirani? Maana mm ninavyojua mkisha achana kila mmoja anaendelea na maisha yake, hata mawasiliano yanaweza yasiwepo kabisa. Sijajua mazingira yenu yakoje.

Ukiona watu wanaachana kwa mbembwe kama DIAMOND na WEMA ujue bado wanapendana au mmoja bado anahitaji mahusiano yaendelee. Watu ambao wamechokana wala huwezi kuona bifu za kijinga zinaendelezwa. Hivyo kwa issue yako inawezekana bado anakupenda na angependa muendelee.
 
kapata na mi nimepata mkuu, miaka 10 imepita sasa mkuu lakini bado tu, ana nimind mbaya,
This is very simple bro,as you have just mentioned above, KAPATA NA WEWE UMEPATA MIAKA 10 IMEPITA. If I put myself in your position,ningeendelea na maisha yangu kama kawa,hanidai,simdai. Nashangaa wewe ndo unaanzisha kulalamika kuwa anamind, anamind kuhusu nini to be specific. Yeye ameshawahi kukulaumi wewe kuwa unamind? Kwa harakaharaka hapa naona kuwa wewe bado unapenda kuendelea na mahusiano nae wakati yeye hapendi,kama ni salam,salamu sio lazima mkuu. Huenda anaheshimu mahusiano yake mapya na hataki kuji-engage sana na wewe kwa hofu ya kujikuta anaharibu ukizingatia mlishawahi kuwa wapenzi..! Think Big Man,sio wote hupenda kukumbushia wanapokutana na wapenzi wao wa awali. The solution here is to delete her in your brain and go ahead with your good life. I STAND TO BE CORRECTED....!
 
Mkuu hiyo ni kawaida! Japokua sio kawaida sana!
...
Ngoja nikukumbushe kitu hapa:
Kuna baadhi ya watu kulipiza kisasi ndio kitu kinachowapa amani na kusamehe!!!
Kumtoa sildi mwenzio usichkulie poa poa ndugu!!!
Nadhani anajutia hilo, ukizingatia ulimtoa hiyo kitu wakati hajitambui vyema!Umemfundisha tabia mbaya huenda athari zake zinaendelea!
...
Nakushauri nenda kamuombe samahani tu.
Watu kama hawa wakiombwa msamaha huridhia na kisasi chao huishia hapo! Usipomuomba msamaha na hawezi kukufanya lolote NDIO ANAKUCHUKIA MWANZO MWISHO!!!!
Just jaribu kufanya hivyo! I hope atakuelewa tu!
 
Sijajua ni kwa nn hata mm kuna dem nilimkuta msichana baadae tukawa mbalimbali alitokea kunichukia kinoma aliniambia ana mimba yangu later akasema ilitoka mwishowe akaniambia ana mtoto wangu nikawa natuma hata matumizi baadae akaolewa nikamuulizia mtoto vp akanikoromea kinoma hakuna mtoto alikuwa ananidanganya tu ili nimpe hela make nimemzingua! Nilifanya mawasiliano na ndg zake wa karibu wakaniambia mtoto yupo na kuna wakati nilikuwa naongea nae kwenye cm kwa kuwa nilikuwa nimekwirha kuoa na nina watoto sikujali sana wala kuendelea kufuatilia make alikuwa hataki hata kuzungumza na mie!
 
pole laikini umejifunza kitu hapo

hivi wewe Majigo tangia kipindi kile cha jambochat bado upo mpaka leo?
kumbe hizi ndo sehemu zako niemekubamba
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo ni kawaida! Japokua sio kawaida sana!
...
Ngoja nikukumbushe kitu hapa:
Kuna baadhi ya watu kulipiza kisasi ndio kitu kinachowapa amani na kusamehe!!!
Kumtoa sildi mwenzio usichkulie poa poa ndugu!!!
Nadhani anajutia hilo, ukizingatia ulimtoa hiyo kitu wakati hajitambui vyema!Umemfundisha tabia mbaya huenda athari zake zinaendelea!
...
Nakushauri nenda kamuombe samahani tu.
Watu kama hawa wakiombwa msamaha huridhia na kisasi chao huishia hapo! Usipomuomba msamaha na hawezi kukufanya lolote NDIO ANAKUCHUKIA MWANZO MWISHO!!!!
Just jaribu kufanya hivyo! I hope atakuelewa tu!
umenigusa kwa sana kamanda wangu, upo sahihi, itabidi nimtafute tuyamalize maana i was the one who did call it to an end, so nadhani bado haja malizana na mimi
 
Mi nalikataa na kulikubali
Sio wasichana wote huwa wanatuchikia tulio watoa ubikra wao... Kwa sababu mimi nimesha watoa wasichana tisa(9) ubikira wao(kuwafungulia njia wanaume wenzangu)
Kati ya hao wawili still niko nao mpaka wa leo na nnawapenda na kuna baadhi mi na wao ni kama kuku na nyoka... Na kuna wengine still tuko peace
Na hii naona ni inatokana na jinsi tulivyo kuwa tunawachukulia, tunawajali kabla ya kuwatoa usichana wao na baada ya kuwatoa...
Mi naamini kama ulimtoa usichana wake kinyama lazima akuchukie
 
mi nalikataa na kulikubali
sio wasichana wote huwa wanatuchikia tulio watoa ubikra wao... Kwa sababu mimi nimesha watoa wasichana tisa(9) ubikira wao(kuwafungulia njia wanaume wenzangu)
kati ya hao wawili still niko nao mpaka wa leo na nnawapenda na kuna baadhi mi na wao ni kama kuku na nyoka... Na kuna wengine still tuko peace
na hii naona ni inatokana na jinsi tulivyo kuwa tunawachukulia, tunawajali kabla ya kuwatoa usichana wao na baada ya kuwatoa...
Mi naamini kama ulimtoa usichana wake kinyama lazima akuchukie

kumbuka kama ulivyofanya utafanyiwa, umemla wa mwenzio na wako ataliwa kwa njia yoyote ile, sehem yoyote na muda wowote. Kaa tayari na usikasirike yakikukuta
 
Ebwana , sijui hii
inatokana na nini.

Kuna demu niliwahi mtoa usichana wake, it is almost ten years now, bado
hanipendi tu...tulikuja achana baada ya yeye kuhama mji kwenda kusoma
ukawa ndio mwisho wetu.

Sasa najiuliza nili mfanyia nini huyu beibe ku deserve this hatred, as i
was the one who taught her how to even kiss jamani, hakua anajua hata
dushe iko na rangi gani...

Yaani nachukiwa nyie, na mimi siipendi hii hali.

Ikiwa uliingiza your big cork kwenye papuchi yake kwa nguvu, so unategemea nini?
 
Ebwana , sijui hii inatokana na nini.

Kuna demu niliwahi mtoa usichana wake, it is almost ten years now, bado hanipendi tu...tulikuja achana baada ya yeye kuhama mji kwenda kusoma ukawa ndio mwisho wetu.

Sasa najiuliza nili mfanyia nini huyu beibe ku deserve this hatred, as i was the one who taught her how to even kiss jamani, hakua anajua hata dushe iko na rangi gani...

Yaani nachukiwa nyie, na mimi siipendi hii hali.

ulimwachia shombo hadi sasa anahisikia! natural smell!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom