Wasichana msimuige binti huyu

Wasichana msimuige binti huyu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man ( ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa karibu na huyu binti, walisha mwagana tangu enzi za pontio wa pilato and its like he was not existing ). Jamaa kwa kuwa alikuwa anamfeel huyu binti alienda naye hivyo hivyo kama mshika mapembe hadi tukamaliza chuo mwaka 2008. Binti alikuwa anampeleka sana jamaa, madesa yote yalikuwa ni wajibu wa jamaa, achilia mbali ishu za kumfanyia takehome tests and all that...Tumemaliza chuo, binti yupo mjini na jamaa yupo mjini but msimamo wa binti ulikuwa vilevile kwamba ana mtu wake toka zamani na wana mipango ya kufunga ndoa, jamaa kapiga sana simu katuma sana meseji hadi akachoka. Mwaka huo huo (2008) jamaa akapata FULLBRIGHT SCHOLARSHIP, akiwa marekani akatokea kupendana na dada mmoja chotara wa kizungu, wamefunga ndoa na sasa hivi wana mtoto mmoja. Kwa sasa jamaa ana fanya PHD kwenye chuo kimoja marekani ambako anaishi na familia yake...Mwezi uliopita alikuja kutembea home na kumtambulisha mke wake. He is no longer talking about that gal. Sasa kinacho nifanya nimshangae huyu binti, she is now blaming on us, anasema sisi ndo tumemshauri jamaa aachane naye, mara ooh jamaa alikuwa na maana gani kumtaka yeye kimapenzi halafu anakuja kuoa mwanamke mwingine!! I told her i dont have anything to do with that plus nikamuuliza kuhusu the so called mchumba wake na hakuwa na majibu yenye kueleweka but mwisho wa siku amejutia sana mambo yote aliyo mfanyia jamaa, alijaribu kumuomba msamaha, jamaa kamwambia yeye hana tatizo nae ila kuhusu uhusiano ndo hivyo tena,yeye tayari ni mume wa mtu. Anafikisha miaka 30 mwaka huu, hana mchumba wala bf, anauza dawa za GNLD ( U CAN SEE HOW DESPERATE SHE IS ). ....

KWENU MABINTI: Zile zama za SITAKI NATAKA , zimekwisha pitwa na wakati, do not pretend to be in love with someone else wakati unajua kabisa katika nafsi yako kwamba upo singo na unahitaji mwanaume..Kumbania mwanaume kwa muda mrefu hakuwezi kuongeza thamani yako hata kidogo.
 
sio kosa lake she is trying to blame others for his loss
and that is a big sign of being desperate
 
Tumezoea kuajiriwa posta, eti ndo maisha tosha. Hahaaa

Hapana unaweza kujiajiri kwa kufanya kitu kinacho eleweka but sio kuwa mteja wa GNLD. Wanao faidika ni wamiliki wa kampuni na sio hawa wanao nunua hizo dawa na kuziuza and all that. Mimi mwenyewe nimejiajiri na sitaki kusikia kabisa kuhusu kuajiriwa but i dont take GNLD as a serious thing to do.
 
Lakini kaka hii makitu hayanaga fomula kaka, nadhani zipo hadithi nyingi tu zingine ungekuta Jamaa yako kalosti na huyo dada katoka kimaisha! Japo ni kweli ni mfano tosha kuwafundisha kina dada maana ya maisha ya kuvumiliana na kupendana bila kujali uwezo wa mtu
 
sio kosa lake she is trying to blame others for his loss
and that is a big sign of being desperate

Yeah, jamaa alikuwa anapelekwa kibwege sana, library walikuwa wote , cafeteria, lecture rooms and all that but papuchi no, sometimes demu alikuwa anachati na majamaa wengine mbele ya mshikaji, au anapigiwa simu na mwanaume mwingine anaongea mbele ya mshikaji. Nakumbuka siku moja, demu alimwambia jamaa wakachukue madesa somewhere, wakati wanarudi, demu akapigiwa simu, akawa anaongea na simu kutoka sehemu waliyoenda kuchukua madesa hadi room kwa jamaa, wakati huo jamaa kabeba madesa kama -----.
 
Lakini kaka hii makitu hayanaga fomula kaka, nadhani zipo hadithi nyingi tu zingine ungekuta Jamaa yako kalosti na huyo dada katoka kimaisha! Japo ni kweli ni mfano tosha kuwafundisha kina dada maana ya maisha ya kuvumiliana na kupendana bila kujali uwezo wa mtu

Ishu kubwa sio kulost kimaisha, ishu ni kuwa na mtu wa kuingia naye kwenye ndoa. Mdada akiangalia karibu rafiki zake wote wapo kwenye ndoa na wanafurahia maisha ya ndoa, yeye hana hata mtoto! na anafikisha miaka 30 mwaka huu! lazima awe desperate, alikuwa na high standards sana ndo zimemponza, anatia huruma.
 
mmmh ngoja nikamtafuta wangu.
Nampigia tupatane
 
huyo demu aliona raha kumshikisha pembe msela, akimuona ---- fulan kisa amempenda,jamaa amekuja kumove on demu ndio anashtuka kwamba kumbe nae alikua anampenda
 
Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man ( ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa karibu na huyu binti, walisha mwagana tangu enzi za pontio wa pilato and its like he was not existing ). Jamaa kwa kuwa alikuwa anamfeel huyu binti alienda naye hivyo hivyo kama mshika mapembe hadi tukamaliza chuo mwaka 2008. Binti alikuwa anampeleka sana jamaa, madesa yote yalikuwa ni wajibu wa jamaa, achilia mbali ishu za kumfanyia takehome tests and all that...Tumemaliza chuo, binti yupo mjini na jamaa yupo mjini but msimamo wa binti ulikuwa vilevile kwamba ana mtu wake toka zamani na wana mipango ya kufunga ndoa, jamaa kapiga sana simu katuma sana meseji hadi akachoka. Mwaka huo huo (2008) jamaa akapata FULLBRIGHT SCHOLARSHIP, akiwa marekani akatokea kupendana na dada mmoja chotara wa kizungu, wamefunga ndoa na sasa hivi wana mtoto mmoja. Kwa sasa jamaa ana fanya PHD kwenye chuo kimoja marekani ambako anaishi na familia yake...Mwezi uliopita alikuja kutembea home na kumtambulisha mke wake. He is no longer talking about that gal. Sasa kinacho nifanya nimshangae huyu binti, she is now blaming on us, anasema sisi ndo tumemshauri jamaa aachane naye, mara ooh jamaa alikuwa na maana gani kumtaka yeye kimapenzi halafu anakuja kuoa mwanamke mwingine!! I told her i dont have anything to do with that plus nikamuuliza kuhusu the so called mchumba wake na hakuwa na majibu yenye kueleweka but mwisho wa siku amejutia sana mambo yote aliyo mfanyia jamaa, alijaribu kumuomba msamaha, jamaa kamwambia yeye hana tatizo nae ila kuhusu uhusiano ndo hivyo tena,yeye tayari ni mume wa mtu. Anafikisha miaka 30 mwaka huu, hana mchumba wala bf, anauza dawa za GNLD ( U CAN SEE HOW DESPERATE SHE IS ). ....

KWENU MABINTI: Zile zama za SITAKI NATAKA , zimekwisha pitwa na wakati, do not pretend to be in love with someone else wakati unajua kabisa katika nafsi yako kwamba upo singo na unahitaji mwanaume..Kumbania mwanaume kwa muda mrefu hakuwezi kuongeza thamani yako hata kidogo.

Saa zingine Mungu anatuepusha na watu ambao hatuendani nao, so we are not supposed to blame the girl
 
Mhhhhhhhhhhh!:ranger: FULL BRIGHT SCHOLARSHIP 2008, CURENTLY DOING PHD IN THE US, MARRIED TO AN HALFCAST!!!!!!!!!!:gossip::gossip::A S 100::A S 100:Guess what???????? I KNOW WHO IT WAS!!!!!!!!!!1:whoo::whoo::whoo: The world is such a small place!!!!!

ITS GOOD TO KNOW THOUGH!!!!!!!!!! Information is power!!!!!!!!!
 
30 yrs hajaenda mbali wala hatakiwi kuwa desparate, lakini akigonga 32 hakuna dalili hapo sasa hapo mmmh anaweza hata akafanya maamuzi magumu sana
 
Unanikumbusha mbali sana!! mama mmoja alikataa bintiye asiolewe na rafiki yangu eti maskini,leo jamaa anafundisha university na kapata scholarship usa,binti bado anauza sura sumbawangu! tuweni makini,hakuna maskini wa kudumu!!
 
Usikute tunakuongelea wewe. No offence meant gal, ukiweza kumuwekesha mwanaume reserve wewe ni timu kubwa. Timj kama majimaji inakuwa haina hata mchezaji wa benchi, kocha akisalia kihasara hasara nae anachezeshwa.

Back
Top Bottom