Wasichana mind game zao

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Kama ushawai kugombana na girlfriend wako alafu akawa mkali sana wakati una muhoji kuhusu kitengo alichokifanya basi 95% ata kuwa ana kudanganya anakuwa mkali ili kugeuza uongo wake kuwa kweli.
 
Kama ushawai kugombana na girlfriend wako alafu akawa mkali sana wakat una muhoji kuhusu kitengo alichokifanya basi 95% ata kuwa Ana kudanganya Ana kuwa mkali ili kugeuza uongo wake kuwa kweli .
mfumo dume huo hata kwa wanaume ni hivyo hivyo!!
 
Mmmh!!! Awe mpole au mkali, maamuzi inategemea busara ya mwanaume.

Ndio maana mnatakiwa kuishi na mwanamke kwa akili na upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…