sore mkwel
Member
- Apr 29, 2013
- 33
- 5
Maisha ni magumu jamani na watu hawajui wanakula nn kila kukicha kwaio wanabuni mbinu za kujikimu kimaisha jaman mi hata sioni cha ajabu hapo
Nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama wanafunzi wa ifm ili wapate soko la hasha, ni wanafunzi wa ifm, aisee, wanajiuza laivi. nilipiga picha kuwa, hao ndio wafanya kazi wetu wa mabenki hao, watu wengi kwenye mabenki wamepitia hapo na hivyo ukiona wanawake wazuri kwenye counter, jua walishawahi kuwa makahaba, hata wavae vizuri vipi....aisee, tz kwisha habari yake....mkiwakuta bank wamependeza unawapapatikia kuwaoa, kumbe walishashambuliwa na nyenyere chini kwisha habari yao...hakika yake wanawake wazuri kumbe sio wale walio wasomi, wasomi walio wengi makahaba tu.
Ukweli unauma na ni mchungu kumeza. Naona watu mmetoka bovu sana kumshambulia mleta mada, but nasikitika kusema kuwa hamtabadili ukweli.